kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,371
- 7,141
Mkuu hujakamilisha orodha yako....jiji LINANUKA. Ukipita mitaani unasikia harufu ya inya kutokana na mifereji ya maji machafu ya choo kuelekezwa kwenye mifereji ya barabara. Kwa kweli ni aibu kubwa.Nipo dar kwa siku yatano sasa nilichogundua hapa ni
1)Uchafu kuna uchafu wa kutisha lakini cha ajabu wakazi wake hawaushangai manake kama ni sehemu ya maisha yao. usishangae dar ukaona sufuria la supu katikati ya maji machafu ila watu wanakunywa na hawahofu.
2) Tatizo la usafiri hadi inakera hili lipo na litaendelea kuwepo.
3)Joto kama kawa.