kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,714
- 17,221
- Thread starter
- #21
Bajeti ya kusafisha miji ni ndogo sana. Machinga anamenya viasi vya chips kando ya barabara kisha maganda anasokomeza kwenye mitaro ya kupitisha maji ya mvua wanamuona na kumuacha kwakuwa ni mpiga kura wao uchaguzi ujao. Mpinzani nae anamtegemea machinga haohao kufanikisha mambo yao.Kidumu Chama 😂😂