Ubunifu ndio siri ya kufanikiwa kibiashara

Ubunifu ndio siri ya kufanikiwa kibiashara

jumahamisi732

New Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Napenda kumpongeza Kalito wa Samaki Samaki kwa ubunifu mkubwa anaouonesha kwenye biashara zake. Kuanzia mapambo, mpaka huduma.

Weekend hii nilikuwa kwenye moja ya viwanja vyake pale masaki nilichokiona duh ni maajabu... Niliagiza chupa ya Hennessy ila nikashangaa inakuja na msafara wa bodaboda. Ni ubunifu wa hali ya juu nawapongeza sana. Pia team nzima ya watoa huduma iko vizuri...

Big up kalito
IMG_20190920_230159.jpeg
IMG_20190921_012518.jpeg
 
Tutasema yote ila huyu jamaa kawafungua macho waTz wengi kwenye swala la ubunifu kwenye biashara hasa za pub na cafe.
 
Unataka hata huku Nanjilinji tukiagiza balimi tuletewe na msafara wa bodaboda au?
 
Back
Top Bottom