Ubunifu ama bange?

Ubunifu ama bange?

Mkuu mbona unafananisha bangi na vitu kijinga

Cc Faizafox bange=Bangi shule mnaenda....
 
We jamaa, ndio maana Waafrika hatuendelewi kwa kweli! mtu kabuni kitu kwa kutumia akili, malighafi pamoja na fedha zake alafu unasema ni Bangi! DAH! hilo ni zaidi ya tusi pia inapunguza morali ya kubuni vitu huku tukihofia matusi!
 
Muharango my pal please naamini wewe ni msomi mzuri tu ina maana hukuona kuwa hilo ni swali kwenye heading?

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Msela kavunja kavunja kabati,kitu cha mr price ama woolworth kama skosei,nina shauku ya kujua kavaa dundo aina gan
 
Jamani mbona hatutaki kuwa wabunifu???? Hivi mmeona wanavyotumia magamba ya migomba kutengeneza nguo? Sasa ya migomba yamekuwa adimu sababu ya mnyauko ndo kijana kaja na viroba. Hivyo ndo viroba asilia achana na vile vijukuu vyenye maji maji makali. Tunanunua bei kubwa kupelekea uchafu nje ya mji. Ulizia wastaarabu wa Mbezi beach siyo wale wanasubiri mvua ili watiririshe pampers, condoms, pads na kila kitu, Mbezi beach kweli unakosa pesa ya kiroba unadiriki kusubiri mvua ya mwaka?? Kuna siku nitawafuatilia nione ni nyumba gani mnafanya upumbavu huu. nipo barabarani mimi ni victim wenu namba moja. Mshana mpe huyo jamaa gold medal ama siyo tutaonana vibaya. Bangi si bangi potelea mbali nayo ni chakula.
 
shikamoo dada
 
hahahahahaha! tupelekee Mirembe uniforms tutapiga hela ndefu
 
Back
Top Bottom