Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Na wewe mwaka 98 ulikua matakoni mwako mwenyewe!

Yeye kafanya kitu kusaidia wanadamu wenzake walao,wewe sasa?Bure kabisa!

Yeye alikua field anasaidia binadamu where were you?

You were nowhere to be seen!

Fvck CCM!
Lisu ALIKUA mzalendo. Mbona hamji na current evidences kuonesha uzalendo wa lisu?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
mwabie jobu mfanye yetu ; maana matibabu ndicho kilichokiwa cha muhimu kabisa kuokoa maisha yake cha ajabu mmegoma kutoa hata JERO; na hela si YENYU bali ni ya walipa kodi wa inji hiii; haya chukueni na ubunge ka mnaona ni moja ya hatua enderevu za kumkomoa.
 
Katika viunga vya maeneo fulani Dodoma, mtu mmoja mzito anajiuliza kwanini mbunge haudhurii miezi kadhaa Bungeni bila ruhusa ya Mkuu wake alafu anaendelea kusema bado ni mbunge?

Ameshangaa kwanini sheria zinaandikwa tu kwenye makablasha lakin hazitumiki kiuhalisia,

Anayezungumziwa ni
Lissu hayupo bungeni tangu Septemba 8, mwaka jana. Kanuni ya 117 ya Bunge, inasema mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.

Lissu mpaka leo ni mbunge, maana yake Spika anatambua udhuru wake kuwa ni mgonjwa. Vinginevyo angekuwa ameshafutwa ubunge, maana alishapitisha mikutano mitatu mfululizo.
Lakin pamoja na kwamba anatambua udhuru wake kuwa mgomjwa ila hana ruhusa ya kutibiwa nje hakufuata utaratibu mpaka huko nje, hana referral ya Bunge kwenda nje kupitia Muhimbili,

Mkutano mkuu ndani ya watu fulani ambao umehusisha wastaafu kadhaa kwamba ni aibu kuendelea kulea utovu wa nidhamu na spika wa Bunge kulifumbia macho,
kama ulizaliwa miaka hiyo utakuwa unamjua Marehem TUMTEMEKE SANGA..
LISSU bado hajavunja rekodi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu ALIKUA mzalendo. Mbona hamji na current evidences kuonesha uzalendo wa lisu?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Uzalendo wa CCM ni kununua ndege kwa cash kula 10% Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani, kurudia chaguzi kwa gharama ili wachote pesa Hazina kwa kisingizio cha kuzitumia kwenye kampeni ndiyo Uzalendo wa CCM? Kutafuna trilion 1.5 kifisadi na sasa Spika anatumiaka kumwangamiza CAG ili kufunika ushahidi huo ndiyo Uzalendo?
 
Lisu ALIKUA mzalendo. Mbona hamji na current evidences kuonesha uzalendo wa lisu?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

"Current" evidences?

Oh yeah?

Maana wewe currently ni mzalendo?

Hivi uzalendo ni kukubali serikali ya CCM ikisemacho au ikifanyacho?

Mtu akipinga ikifanyacho serikali ya CCM sio mzalendo?Uzalendo ni kukubali CCM inachokifanya?

Mbuzi nyie!

Yeye ni mzalendo kwetu sisi wananchi kwa kuwafichua nyie shenzi watawala!
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Vipi kuhusu CAG?
 
Na pia hana faida kwa wananchi wake wala taifa letu kwa sasa.
 
Mkuu

Haya majitu sijui yametoka wapi aisee!

Uzalendo wa CCM ni kuchukua pesa Hazina kienyeji pasipo idhini ya Bunge kwenda kujenga chato Airport kijijini, Uzalendo wa CCM ni kuchukua pesa za walipa kodi kuwalipa cyprian Musiba na le mutuz kutengeneza propaganda za kijinga jinga kuwachanganya wananchi, Uzalendo ni kuwafukuza watumishi kibao kwa kukosa vyeti lakini wakamuacha Daud Arbaty Bashite asiye na vyeti? Neno Uzalendo huko CCM maana yake ni ufujaji wa pesa za umma.
 
"Current" evidences?

Oh yeah?

Maana wewe currently ni mzalendo?

Hivi uzalendo ni kukubali serikali ya CCM ikisemacho au ikifanyacho?

Mtu akipinga ikifanyacho serikali ya CCM sio mzalendo?Uzalendo ni kukubali CCM inachokifanya?

Mbuzi nyie!

Yeye ni mzalendo kwetu sisi wananchi kwa kuwafichua nyie shenzi watawala!
Mkuu kuipinga CCM ndio uzalendo?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Mbona matakwa yako na mabwana zako kwa maoni yenu na matendo yenu mlikuwa mmemtoa uhai tayari.
Jambo la busara ni nyie kujitambua kwamba nia zenu ovu zinakwama sababu Mungu apendi na mnapambana na M/mungu sasa maana yake mmekuwa mashetani na hamtaki kujua duniani mnapita na madaraka yana expire.
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie naunga mkono.tundu lissu c mgonjwa tena.alishapona kitambo arudi awatumikie wapiga kura wake.hiyo nguvu anayotumia kuzunguka ulaya kushawishi tunyimwe misaada,angeitumia kuwapugania watu na nchi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia hana faida kwa wananchi wake wala taifa letu kwa sasa.

Wewe ndiyo huna faida maana maana Akili zako ni ndogo kama punje ya ulezi, yaani wewe umempiga Risasi ukataka kumuua na bado unadai hana faida yaani ujue tokea uanze kulala gheto kwa le mutuz na cyprian Musiba wamekupa mimba na kupoteza uwezo wa kufikiri
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.

Hivi in the end what will you gain by supporting govt. suppression ?
 
Mie naunga mkono.tundu lissu c mgonjwa tena.alishapona kitambo arudi awatumikie wapiga kura wake.hiyo nguvu anayotumia kuzunguka ulaya kushawishi tunyimwe misaada,angeitumia kuwapugania watu na nchi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Misaada ipi? Pesa inayotumika kuwanunua madiwani wabunge kurudia chaguzi kwa gharama kubwa ni pesa ndefu ingetosha kuleta maendeleo pasipo misaada ya wazungu, arudi uje kumpiga Risasi tena? Mpaka sasa hawajakukamata kwa kumpiga Risasi na bado unataka arudi?
 
Lisu ALIKUA mzalendo. Mbona hamji na current evidences kuonesha uzalendo wa lisu?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Aliyewaroga hana huruma.
Wakati Lissu anatetea raslimali za nchi hii nyie na chama chenu mkipinga hadi wananchi wakafukiwa Kahama, wananchi wakaathirika kwa maji yenye Sumu Tarime, Wananchi wakiuawa Geita, wewe ulikuwa upande gani? Kama mlimuona wakati ule kuwa msaliti hatushangai mnaposema Leo ni msaliti maana hamkuanza Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu hata jina lake tu ni mateso kwa mafisi !
Just imagine mmempiga hadi risasi 16 bado mnamuogopa !

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu

Majamaa yamepaniki huwezi amini..

Kama hili soro la hii thread limepaniki mpaka limeandika kwa caps na hata bila paragraph!

Limekurupuka asubuhi full blown!

Lissu anawatia wazimu aisee....Sipati picha siku anatua hapo airport,yatazirai kabisa!
 
Back
Top Bottom