Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Huyu mtu hata jina lake tu ni mateso kwa mafisi !
Just imagine mmempiga hadi risasi 16 bado mnamuogopa !

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa inayotumika kudidimiza demokrasia nchini ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja toka mtwara mpaka mafia, daraja toka dsm mpaka Zanzibar na pemba na kujenga Hospt za rufaa kila mkoa, Uzalendo wa CCM ni kufuja pesa za walipa kodi kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla .
 
1. MSALITI TUNDU LISSU ALIANZA KUTUSALITI DHIDI YA MAKINIKIA NA DHAHABU ZETU KWA KUWATETEA WAZUNGU WALIOKUWA WANATUIBIA. AKAJA KUTUSALITI TENA DHIDI YA NDEGE ZETU KWA KUFANYA FITINA HUKO CANADA ILI NDEGE ZISIWEZE KUNUNULIWA. SASA HIVI ANAZUNGUKA HUKO ULAYA NA MAREKANI AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU NA NCHI YETU KWA UJUMLA. YAANI BADO ANAENDELEA KUTUSALITI TU.
HUYU TUNDU LISSU NI MSALITI NAMBA MOJA WA TAIFA LETU. SASA ANAFANYA ZIARA HUKO ULAYA AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU. YAFAAA ALAANIWE!!

KWA HAYA ANAYOFANYA KUICHAFUA SERIKALI YETU, TUNDU LISSU ANAZIDI KUJIHARIBIA TU KWANI HAKUNA KITU CHA MAANA ATAKACHOPATA KWA HAO WAZUNGU, ZAIDI YA KUZUNGUKA NA KUSHANGAA MAGHOROFA YA ULAYA [emoji3][emoji3][emoji3]. AMINI NAKWAMBIA, ATASHINDWA TU. ATAISHIA KULIA NA KUSAGA MENO!!
WATANZANIA WA KWELI TUMESIMAMA PAMOJA NA SERIKALI YETU CHINI YA MHE. DR. JOHN POMBE MAGUFULI, JEMEDARI IMARA, ASIYEYUMBISHWA WALA KUOGOPA KITU CHOCHOTE. SIKU ZOTE WATANZANIA WAZALENDO WA KWELI TUTAZIDI KUIUNGA MKONO SERIKALI YETU NA RAIS WETU MPENDWA, DR. JOHN POMBE MAGUFULI, ALIYEJITOLEA KWA DHATI KUIJENGA NCHI NA KUIFANYA IWE NA UCHUMI WA KATI. KWA NYAKATI HIZI, DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI RAIS BORA KABISA,,,WATANZANIA WOTE TUNAJUA, AFRIKA YOTE INAJUA NA DUNIA PIA INAJUA!!!
Muda si mrefu ukweli utajulikana kuhusu kupigwa kwake risasi. Kama anajua au la ila kuna kundi, tena la wanasiasa, litafedheheka.
 
Mkuu kuipinga CCM ndio uzalendo?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Kuipinga CCM by any means possible kihoja ni wajibu wake hasa kisheria!

Anatimiza majukumu yake kama opposition member!

Na mtu kutimiza wajibu wake ndio uzalendo hasa!
 
Aliyewaroga hana huruma.
Wakati Lissu anatetea raslimali za nchi hii nyie na chama chenu mkipinga hadi wananchi wakafukiwa Kahama, wananchi wakaathirika kwa maji yenye Sumu Tarime, Wananchi wakiuawa Geita, wewe ulikuwa upande gani? Kama mlimuona wakati ule kuwa msaliti hatushangai mnaposema Leo ni msaliti maana hamkuanza Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli Tundu Lisu alianza harakati za kupinga uwekezaji batili wa madini 1998 na mkapa akamwandama sana kihistoria Tundu Lisu ndiyo mzalendo wa kweli kwani alianza kutakataa mabaya ya wawekezaji mapema kabsa lakini CCM ni ile ile leo hii Uzalendo ni kupiga mikwara huku makinikia yakisafirishwa nje kimya kimya na madini na pesa zote walizokamata Airport , mipakani wanajimilikisha wao binafsi kimya kimya huo ndiyo Uzalendo? Kubunya mali za umma kimya kimya kwa CCM ndiyo Uzalendo.
 
Wewe ndiyo huna faida maana maana Akili zako ni ndogo kama punje ya ulezi, yaani wewe umempiga Risasi ukataka kumuua na bado unadai hana faida yaani ujue tokea uanze kulala gheto kwa le mutuz na cyprian Musiba wamekupa mimba na kupoteza uwezo wa kufikiri

Risasi kapigwa na wenziwe wa upinzani ili wasingizie serikali.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Mlipeni hela ya matibabu anayo sitahili kikatiba ''Dot not be biased''
 
Muda si mrefu ukweli utajulikana kuhusu kupigwa kwake risasi. Kama anajua au la ila kuna kundi, tena la wanasiasa, litafedheheka.

Waliokwenda Dodoma kumshambulia Tundu Lisu wanajulikana wote sio siri na nakutajia baadhi yao ni Daudi Arbaty Bashite, Jerry Muro, Le mutuz, Heri kisanduku, cyprian Musiba na aliyekuwa akitoa maelekezo ni cyprian Musiba na aliyompiga Risasi ni Heri kisanduku nikipata mda nitakupa Sinema yote ilivyochorwa.
 
Mlipeni hela ya matibabu anayo sitahili kikatiba ''Dot not be biased''

Kama walizuia watanzania wasimuombee live sembuse pesa za matibabu? Uzalendo wa CCM ni kuhujumu Wapinzani na kufuja pesa za umma
 
Misaada ipi? Pesa inayotumika kuwanunua madiwani wabunge kurudia chaguzi kwa gharama kubwa ni pesa ndefu ingetosha kuleta maendeleo pasipo misaada ya wazungu, arudi uje kumpiga Risasi tena? Mpaka sasa hawajakukamata kwa kumpiga Risasi na bado unataka arudi?
Mke wako km anakubali kununuliwa ili akusaliti,una mke hapo?! Yupi mwenye kosa kati ya yule anaenunuliwa na kumsaliti mme wake.au mnunuaji?!. Kama unakili wabunge wa chadema wananunuliwa!! Basi ipo kz.niambie pia bei ya chadema nzima ni tsh ngapi kw bei ya jumla mnadani!!???. Na km kweli chadema wanakubali kununuliwa kw bei ya jumla km kuku kwenye matenga!!!. Kweli hawa wanastahili kupewa nchi waiongoze na kushika dola??! Ndio maana hata lowassa aliwanunua.KUMBE MNAJIUZA CHADEMA.NI HELA YAKO TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Wasaliti wakubwa ni serikali ya ccm iliyoingia mikataba ya kinyonyaji na wawekezaji huku wakitumia uwingi wa wabunge wao kupitisha na kuhalalisha uovu.Mikataba yote, Richmond, escrow, nyumba za serikali na kufa kwa viwanda vyetu ni mambo yaliyofanywa na serikali yetu kupitia watendaji wake iliowaamini wakiwemo mawaziri.
Tundu lisu ataendelea kuwepo pamoja na ubunge wake hadi atakapoamua Mungu na si watawala wa nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.

Sorry mkuu jinsia yako ni me au me? tuanzie hapo kwanza!
 
Sawa basi,kakojoe ulale
1. MSALITI TUNDU LISSU ALIANZA KUTUSALITI DHIDI YA MAKINIKIA NA DHAHABU ZETU KWA KUWATETEA WAZUNGU WALIOKUWA WANATUIBIA. AKAJA KUTUSALITI TENA DHIDI YA NDEGE ZETU KWA KUFANYA FITINA HUKO CANADA ILI NDEGE ZISIWEZE KUNUNULIWA. SASA HIVI ANAZUNGUKA HUKO ULAYA NA MAREKANI AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU NA NCHI YETU KWA UJUMLA. YAANI BADO ANAENDELEA KUTUSALITI TU.
HUYU TUNDU LISSU NI MSALITI NAMBA MOJA WA TAIFA LETU. SASA ANAFANYA ZIARA HUKO ULAYA AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU. YAFAAA ALAANIWE!!

KWA HAYA ANAYOFANYA KUICHAFUA SERIKALI YETU, TUNDU LISSU ANAZIDI KUJIHARIBIA TU KWANI HAKUNA KITU CHA MAANA ATAKACHOPATA KWA HAO WAZUNGU, ZAIDI YA KUZUNGUKA NA KUSHANGAA MAGHOROFA YA ULAYA [emoji3][emoji3][emoji3]. AMINI NAKWAMBIA, ATASHINDWA TU. ATAISHIA KULIA NA KUSAGA MENO!!
WATANZANIA WA KWELI TUMESIMAMA PAMOJA NA SERIKALI YETU CHINI YA MHE. DR. JOHN POMBE MAGUFULI, JEMEDARI IMARA, ASIYEYUMBISHWA WALA KUOGOPA KITU CHOCHOTE. SIKU ZOTE WATANZANIA WAZALENDO WA KWELI TUTAZIDI KUIUNGA MKONO SERIKALI YETU NA RAIS WETU MPENDWA, DR. JOHN POMBE MAGUFULI, ALIYEJITOLEA KWA DHATI KUIJENGA NCHI NA KUIFANYA IWE NA UCHUMI WA KATI. KWA NYAKATI HIZI, DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI RAIS BORA KABISA,,,WATANZANIA WOTE TUNAJUA, AFRIKA YOTE INAJUA NA DUNIA PIA INAJUA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kikundi kidogo kilichompiga risasi kwa amri kutoka kule kusikojulikana,na ambae hukohuko kusikojulikana wanagoma kumlipia matibabu,na haohao wasiojulikana wanataka afuate taratibu za matibabu ili walipe,mwishowe.haohao wasiojulikana lkn ni wazalendo kwa vile walikula supu ya utumbo,leo wameandika utumbo humu kumshutumu.
Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA.

Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda kushawishi nchi wahisani ziinyime misaada Tanzania!
Lisu anasahau kuwa Tanzania ikinyimwa misaada hata wananchi wake waliompigia kura kule Singida nao watakufa njaa vibaya sana.
Lisu amepigwa risasi na kikundi kidogo cha watu lakini anahukumu taifa zima wakiwemo wapiga kura wake wa Singida nao waisome namba eti kisa tu yeye alishambuliwa kwa risasi!! Hivi Tanzania aliyepigwa risasi ni Lisu tu??

Hata hivyo pamoja na nia ovu ya Lisu bado Mungu yupo pamoja na watanzania baada ya ziara ya Lisu kupuuzwa na vyombo vya habari vya kimataifa vikiwemo vya hao wazungu aliokimbilia kwenda kujipendekeza kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.

mliyo yaona kenya very soon msipo kuwa makini kwa ubaguzi wenu wa vyama vya upinzani mtayashuhudia TZ, tumuombe mungu hekima itawale lakini msidhanie nchi na yenu peke yenu wakuu. kila mmoja anahaki na nchi hii. Time will tell.
 
Wewe ndiyo huna faida maana maana Akili zako ni ndogo kama punje ya ulezi, yaani wewe umempiga Risasi ukataka kumuua na bado unadai hana faida yaani ujue tokea uanze kulala gheto kwa le mutuz na cyprian Musiba wamekupa mimba na kupoteza uwezo wa kufikiri
Tena kapewa mimba ya mgongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom