Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,222
Sim card zote? Umeenda kwa Fundi wa Hardware ama Software?Mkuu natumia hio 8A imekuwa na tatizo la kutosoma simcard Kwa week sasa, imeniandikia no service sijui shida nini mana mafundi wameshindwa