Kuna Global version na Chinese version. Kwa ninachojua Global ROM ni hiyohiyo Global version. Chinese ROM ndio shida kwa sababu kuna bands za internet inaweza isishike hapa Bongo ingawa wengine wanapenda zaidi Chinese ROM kutokana na bei rahisi na zina features nyingi ambazo hazipo Global versionMkuu umenifumbua macho nimepita AliExpress nimekutana na redimi 9 T bei kitonga kweli kweli
Tatizo lake ni global roming hivi haiwezi kuwa tatzo .? Mm nimezoea global version
Sometime simu ni Chinese version wanaweka global rom, hapa band zitabakia zile zile za KichinaKuna Global version na Chinese version. Kwa ninachojua Global ROM ni hiyohiyo Global version. Chinese ROM ndio shida kwa sababu kuna bands za internet inaweza isishike hapa Bongo ingawa wengine wanapenda zaidi Chinese ROM kutokana na bei rahisi na zina features nyingi ambazo hazipo Global version
Kwa hiyo Global ROM haina shida kwa sababu inasupport bands nyingi za internet so ndio hiyohiyo Global version.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Ukinunua simu ambazo ni Chinese ROM, ni mitandao gani unaweza kosa access nayo labda. Yani bands zipi hazikubali.Sometime simu ni Chinese version wanaweka global rom, hapa band zitabakia zile zile za Kichina
Daaaah! Aisee mm nilikua nazikimbia sana global romKuna Global version na Chinese version. Kwa ninachojua Global ROM ni hiyohiyo Global version. Chinese ROM ndio shida kwa sababu kuna bands za internet inaweza isishike hapa Bongo ingawa wengine wanapenda zaidi Chinese ROM kutokana na bei rahisi na zina features nyingi ambazo hazipo Global version
Kwa hiyo Global ROM haina shida kwa sababu inasupport bands nyingi za internet so ndio hiyohiyo Global version.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Inategemea na model mkuu, ila hizi info Gsmarena zinakuwepo.Ukinunua simu ambazo ni Chinese ROM, ni mitandao gani unaweza kosa access nayo labda. Yani bands zipi hazikubali.
Af kama wanaflash inakuwa Global ROM maana yake simu wanaifungua au
Wakuu naomba mnitajie simu bora kwa bajeti ya 500k kwa hapa bongo
Samsung AO3Previous ulikua unatumia cm gani?
Xiaomi Redmi Note 10SWakuu naomba mnitajie simu bora kwa bajeti ya 500k kwa hapa bongo
Redmi note 10s vs note 11 ipi ni simu boraXiaomi Redmi Note 10S
Tafuta 6GB RAM na 128GB ROM.
Pia Tigoshop inauzwa 550K kwa version ya 6GB/128GB
Pia kwa 550K unapata Xiaomi Redmi Note 10 Pro ambayo itakupa SoC ya Snapdragon 732G, kwa hapa Bongo kwa bei hiyo unapata 4GB RAM 128GB ROM. Na kwa 650K hadi 750K unapata 8GB RAM 128GB ROM kulingana na duka utakaloenda. Angalia pia specifications zake gsmarena.com ili ujue aina ya simu zinazoongelewa
Kabla hujanunua simu, angalia unapenda nini kwenye hiyo simu. Mfano hapa nitakuonesha vitu vichache kuhusu Xiaomi Redmi Note 11 vs Xiaomi Redmi Note 10S halafu utaangalia mwenyewe ipi inakufaaRedmi note 10s vs note 11 ipi ni simu bora
Kama hutojali unifafanulie ubora wake pia
ya 5000mAh lakini chipset ya Snapdragon 680 ya kwenye Redmi Note 11 inakula chaji taratibu kuliko Helio G95 ya Redmi Note 10S. Kwa hiyo kama unataka simu inayotunza chaji zaidi chukua Redmi Note 11 ingawa tofauti si kubwa sana.
,4K videos, slow motion videos at 960fps na gaming perfomance mwingine angechukua Redmi Note 11 kwa sababu ya display, selfie camera, ukaaji wa chaji, kuweka memory card ya 1TB, na high refresh rate ya 90Hz, tunatofautiana.Mkuu uko vizuri sana kwenye XiaomiKabla hujanunua simu, angalia unapenda nini kwenye hiyo simu. Mfano hapa nitakuonesha vitu vichache kuhusu Xiaomi Redmi Note 11 vs Xiaomi Redmi Note 10S halafu utaangalia mwenyewe ipi inakufaa
Mwishoni angalia mwenyewe umependa nini, Mimi ningechukua Xiaomi Redmi Note 10S kwa sababu ya camera ya nyuma, perfomance, reverse charging, continuous autofocus when recording movies,
- Simu zote mbili zinatumia AMOLED displays na zina screen protection ya Gorilla Glass 3. Display za simu zote mbili zina resolution ya 1080x2400p. Redmi Note 10S inaenda brightness ya hadi 1100nits, hiyo Redmi Note 11 inaishia 1000nits. Vioo hivi kiubora vinafanana sana lakini Redmi Note 11 ina refresh rate kubwa ya 90Hz, wakati Note 10S ina 60Hz, kwa hiyo Redmi Note 11 ndio ina kioo bora zaidi ingawa tofauti ni ndogo sana. Kama unajali sana kioo chukua Redmi Note 11.
- Redmi Note 11 inatumia chipset ya Qualcomm Snapdragon 680 wakati Redmi Note 10S inatumia MediaTek Helio G95. Snapdragon 680 inakula chaji taratibu kuliko Helio G95 lakini Helio G95 ndio ina uwezo mkubwa wa kucheza games na ku-run apps nzito nzito kuliko Snapdragon 680, hata AnTuTu score ya Redmi Note 10S ni kubwa (339000 points) kuliko ya Redmi Note 11 (267000). Kwa hiyo kama unataka simu yenye uwezo mkubwa wa kucheza heavy games na ku-run apps nzito nzito chukua Redmi Note 10S
- Simu zote mbili zina battery capacity
ya 5000mAh lakini chipset ya Snapdragon 680 ya kwenye Redmi Note 11 inakula chaji taratibu kuliko Helio G95 ya Redmi Note 10S. Kwa hiyo kama unataka simu inayotunza chaji zaidi chukua Redmi Note 11 ingawa tofauti si kubwa sana.
- Kwenye suala la charging zote zinakuja na 33W fast charger na Redmi Note 11 inatumia saa 1 na dakika 18 kujaa kutoka 0% hadi 100% wakati Redmi Note 10S inatumia saa 1 na dakika 9 tu kujaa, tofauti ni ndogo sana. Lakini Redmi Note 10S ina feature ya reverse charging ambapo Redmi Note 11 haina hiyo feature. Kwa hiyo kwenye suala la charging Redmi Note 10S ipo vizuri zaidi.
- Kamera ya nyuma sasa, Note 11 ina 50MP Main camera huku Note 10S ina 64MP. Bila kuzunguka Redmi Note 10S ndio inatoa picha nzuri zaidi kuliko Redmi Note 11, kwanza Redmi Note 10S inaweza kurekodi video katika resolution ya 4K@30fps, Redmi Note 11 inaishia kurekodi video katika resolution ya 1080p@30fps lakini bado Redmi Note 10S nayo inaweza kurekodi 1080p video pia, tena ni 1080p@60fps ambayo ni nzuri kuliko 1080p@30fps. Redmi Note 10S inarekodi slow motion videos katika 960fps wakati Redmi Note 11 inarekodi slow motion video s katika 120fps tu. Pia Redmi Note 10S ina continuous autofocus unaporekodi muvi, kiufupi photo quality na video quality mshindi ni Redmi Note 10S. Kama unataka simu yenye kamera nzuri ya nyuma chukua Redmi Note 10S.
- Kamera ya mbele zote zina 13MP, lakini picha za Redmi Note 11 zina resolution ya 4128x3096p ambayo ni kubwa kuliko resolution ya picha za Redmi Note 10S ambayo ni 4290x2800p kwa hiyo kama unataka selfie nzuri zaidi chukua Redmi Note 11
- Storage zote zina 64GB na 128GB lakini Redmi Note 11 inasupport hadi memory card yenye 1TB wakati Redmi Note 10S inasupport memory card ya 512GB tu.
- Simu zote mbili zina Android 11 na MIUI 13 lakini kwenye Redmi Note 11 software size ni 21.4GB wakati kwenye Redmi Note 10S software imetumia 18GB tu kwa hiyo chukua Redmi Note 10S kwa sababu inakuachia storage kubwa ya kutumia. MIUI 13 ni software nzuri na utaifurahia tu kwa sababu ina features nyingi na maudambwi ya kutosha unless kama ww sio fan wa features.
,4K videos, slow motion videos at 960fps na gaming perfomance mwingine angechukua Redmi Note 11 kwa sababu ya display, selfie camera, ukaaji wa chaji, kuweka memory card ya 1TB, na high refresh rate ya 90Hz, tunatofautiana.
Design sijaongelea kwa sababu macho yanatofautiana, kwa hiyo angalia design unayoipenda.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Hatari wewe jamaa utafikiri una degree ya XiaomiKabla hujanunua simu, angalia unapenda nini kwenye hiyo simu. Mfano hapa nitakuonesha vitu vichache kuhusu Xiaomi Redmi Note 11 vs Xiaomi Redmi Note 10S halafu utaangalia mwenyewe ipi inakufaa

Daah shukran mkuu naona umemaliza kila kitu mm sio mpenz wa games ninachoangalia kwenye simu niKabla hujanunua simu, angalia unapenda nini kwenye hiyo simu. Mfano hapa nitakuonesha vitu vichache kuhusu Xiaomi Redmi Note 11 vs Xiaomi Redmi Note 10S halafu utaangalia mwenyewe ipi inakufaa

Then chukua Redmi Note 11kama sio gamerDaah shukran mkuu naona umemaliza kila kitu mm sio mpenz wa games ninachoangalia kwenye simu ni
Kamera,
Betri kutunza chaji,
Performance,
Kioo na
Design
Then chukua Redmi Note 11kama sio gamer
Overall naona Redmi Note 11 inakufaa, kioo ni kitu muhimu sana. Kama ni kamera isikusumbue sana tena zote zinarekodi na zinatoa picha safi tu. Hiyo 4K ya Redmi Note 10S bado haina stability kwa hiyo bado videos zake zinakuwa poor, na ukitumia 1080p@60fps nayo Haina stability so video ni poor bado lakini ukitumia 1080p@30fps ndio inakuletea video nzuri zaidi ambayo ndio resolution hiyohiyo ya Redmi Note 11 sema Note 10S imeizidi kidogo tu Note 11, pia Note 10S inaoverheat ukicheza games au ukitumia kamera muda mrefu ingawa kwenye gaming ipo vizuri zaidi lakini tayari umesema gaming sio kipaumbele chako.
Ukinunua Redmi Note 11 tumia Firefox au Samsung Internet kama browser zako kwa sababu browsing inakosha kwenye 90Hz lakini Redmi Note 11 inaswitch to 60Hz ukitumia Chrome, ila ukitumia Samsung Internet na Firefox inakubali 90Hz.
So, conclusion chukua REDMI NOTE 11, itakufaa zaidi