Ubora wa Xiaomi Redimi 8A

Ubora wa Xiaomi Redimi 8A

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
301
Msaada wakuu Kuna mtu yeyote amewahi Tumia Xiaomi Redmi 8a? Vp kuhusu uborawake?

Nataka kuagiza china kupitia WeChat

mmexport1675056301553.jpg
 
Hii bei hapana aisee, bora utafute redmi 9 kama utaipata, otherwise ongeza kidogo chukua 10C.

Kama budget haipandi kabisa tafuta Samsung A03.
Kaka nimepoteza simu mara mbili zote ndani ya miezi sita, redimi 9&oppo ax5
Nilitaka niagize Kwa mda tu ndipo ntaaagiza redimi 11
 
Msaada wakuu Kuna mtu yeyote amewahi Tumia Xiaomi Redmi 8a? Vp kuhusu uborawake?

Natakuagiza china kupitia WeChat

View attachment 2501931
mimi ndio natumia hapa kuandika hii comment, ni simu nzuri kwa budget yake, performance iko poa sana, changamoto ni moja hii simu inakuja shipped with 32bit operating system, so bear that in mind, ila yangu nili unlock bootloader nikaweka 64bit OS, camera iko poa, ukiweka GCAM hii inakubali hata kama ikiwa 32bit or 64bit depending on which version, overall ina worth hiyo pesa, sijui kama utapata ya hivi, kwa hyo budget.
ila jitahidi iwe 4GB kwa 64GB.
 
Apo nimekusoma mkuu ntawapa mrejesho after two weeks
 
Kwa laki mbili na nusu nunua bongo hapahapa Used "Sony Xperia XZ2" kuliko kununua abroad halafu used Redmi 8A Achana na hiyo simu nunua Sony Xperia XZ2 uenjoy kioo kizuri, kamera Kali, speaker nzuri, design nzuri, simu slim, etc. Using'ang'anie Redmi 8A. Nazipenda sana Xiaomi kuliko simu zote duniani lakini kwa simu hii hapana bwana
Mkuu usiwe mkaidi, hapo unapigwa
 
Hahahaha nashukuru mkuu unajua shida iko wapi? Mm simu Cha kwanza iwe inakaa chaji tatzo hizo Sony Xperia ni mbovu sana kwenye chaji

Nashukuru ushauri wako ntaufanyia kazi mwana Xiaomi mwenzako
Japo tayari nimeshafanya oder
 
Duh....mkuu sasa si bora ungeitupia hiyo pesa AliExpress udake tambo la Redmi 9T ipo around 267,000/= maana yakupasa uwe na roho ngumu sana kununua Redmi 8A 2023 hii. Ingawa 250000/= kwa Bongo hii ni bei ya Redmi 9A.
 
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Unajua Nini mkuu? Tatizo la redimi 9t na 9a processer zake zote ni mtk alfu hiyo 9t huwezi pata AliExpress Kwa bei hiyo pili hiyo simu nimechukua tu Kwa mda boss wangu, mda c mrf ntachkua aliexpless Xiaomi Redmi not 11 around 450000/=
 
Redmi 9T inauzwa kwa bei hiyo AliExpress na inatumia chipset ya Qualcomm Snapdragon 662 sio Mediatek. Ukitaka kuipata AliExpress andika Redmi 9T halafu sort by : Order, utaiona Redmi 9T kwa 267000/=
Ila kama una mpango wa kununua Redmi Note 11 sio mbaya, endelea tu kama ulivyopanga
 
Back
Top Bottom