herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,129
- 4,712
Wakuu,
Ifike kipindi chuo kikuu cha Dar es salaam kikae chini, kijitathmini kuhusu ubora wake.
Kuna mambo/matukio mengine yanaweza kukipaisha chuo au kukishusha kwa kasi ya kimbunga. Tukio kama la Jana ni tukio lililokuwa likitazamwa na dunia nzima. Inawezekana dunia ilitaka kujua pia ubora wa UDSM kwa kuangalia na kuisikiliza "product" yake.
Liliulizwa swali jepesi mno, lakini lilijibiwa kwa kuzungukazunguka na pia kwa lugha mbovu kabisa.
Kwa kweli sio jambo jema kwa mtu mwenye PhD kuwa katika kiwango kile kilichoonyeshwa...UDSM kuna sehemu mmekosea/mnakosea.
Ni lazima kuna sehemu UDSM inakosea regardless of being the best in TZWewe nae vipi?? Tatizo la jitu moja wewe unakosoa taasisi nzima. UDSM is the best in TZ.
Wakuu,
Ifike kipindi chuo kikuu cha Dar es salaam kikae chini, kijitathmini kuhusu ubora wake.
Kuna mambo/matukio mengine yanaweza kukipaisha chuo au kukishusha kwa kasi ya kimbunga. Tukio kama la Jana ni tukio lililokuwa likitazamwa na dunia nzima. Inawezekana dunia ilitaka kujua pia ubora wa UDSM kwa kuangalia na kuisikiliza "product" yake.
Liliulizwa swali jepesi mno, lakini lilijibiwa kwa kuzungukazunguka na pia kwa lugha mbovu kabisa.
Kwa kweli sio jambo jema kwa mtu mwenye PhD kuwa katika kiwango kile kilichoonyeshwa...UDSM kuna sehemu mmekosea/mnakosea.
Inaonyesha hamfwatilii mambo yanayoendelea nchin, na kama nyie mnasoma udsm basi naungana na mleta madaunamatatizo ya akili
unaandika pumba az if watu wote wanajua unachouliza walifuatilia hilo swal
Kwani jana kumetokea nini mkuu? Unapoanzisha uzi ni vema habari ikajitosheleza.
ww ni mpumbavu unataka angejib km vile ww unavyotaka?
Unawezaje kumpa/kumtunuku PhD individual kama "yule" na bado ujiite bora???Ubora unaanza kwa indivual kabla ya institution. Ubora gani anaouongelea?
nan kakwmbia cjui?;umeona upumbavu wako? unajua aina ngapi za uandishi?ww = wewe
angejib = angejibu
km = kama
Je mpaka hapo mimi na wewe nani ni mpumbavu? kama hata kuandika hujui unadhani mleta mada atakua amekosea alichoandika?
= Naninan kakwmbia cjui?;umeona upumbavu wako? unajua aina ngapi za uandishi?
ni aina gani ya uandishi niliotumia?= Nani
= Kakwambia
= Sijui
Hii aina ya uandishi ndio mnafundishwa kwenye chuo chenu?
Je mpaka hapo mimi na wewe ni nani mpumbavu?
siku hizi wanajitetea kwa kusema anatangaza kiswahiliUnawezaje kumpa/kumtunuku PhD individual kama "yule" na bado ujiite bora???
Kumbe hujui hata uandishi unaoutumia? basi mleta mada yuko sahihini aina gani ya uandishi niliotumia?
Samaki mmoja akioza wote wameoza....!Wewe nae vipi?? Tatizo la jitu moja wewe unakosoa taasisi nzima. UDSM is the best in TZ.
Can u express this" povu " in the queen's tongue....! Kama huwez na ww ni walewale....!ww ni mpumbavu unataka angejib km vile ww unavyotaka?