herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,129
- 4,712
Wakuu,
Ifike kipindi chuo kikuu cha Dar es salaam kikae chini, kijitathmini kuhusu ubora wake.
Kuna mambo/matukio mengine yanaweza kukipaisha chuo au kukishusha kwa kasi ya kimbunga. Tukio kama la Jana ni tukio lililokuwa likitazamwa na dunia nzima. Inawezekana dunia ilitaka kujua pia ubora wa UDSM kwa kuangalia na kuisikiliza "product" yake.
Liliulizwa swali jepesi mno, lakini lilijibiwa kwa kuzungukazunguka na pia kwa lugha mbovu kabisa.
Kwa kweli sio jambo jema kwa mtu mwenye PhD kuwa katika kiwango kile kilichoonyeshwa...UDSM kuna sehemu mmekosea/mnakosea.