Ubora wa UDSM upo wapi?

herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,129
4,712
Wakuu,

Ifike kipindi chuo kikuu cha Dar es salaam kikae chini, kijitathmini kuhusu ubora wake.

Kuna mambo/matukio mengine yanaweza kukipaisha chuo au kukishusha kwa kasi ya kimbunga. Tukio kama la Jana ni tukio lililokuwa likitazamwa na dunia nzima. Inawezekana dunia ilitaka kujua pia ubora wa UDSM kwa kuangalia na kuisikiliza "product" yake.

Liliulizwa swali jepesi mno, lakini lilijibiwa kwa kuzungukazunguka na pia kwa lugha mbovu kabisa.

Kwa kweli sio jambo jema kwa mtu mwenye PhD kuwa katika kiwango kile kilichoonyeshwa...UDSM kuna sehemu mmekosea/mnakosea.
 
Kwani jana kumetokea nini mkuu? Unapoanzisha uzi ni vema habari ikajitosheleza.
 
Wakuu,

Ifike kipindi chuo kikuu cha Dar es salaam kikae chini, kijitathmini kuhusu ubora wake.

Kuna mambo/matukio mengine yanaweza kukipaisha chuo au kukishusha kwa kasi ya kimbunga. Tukio kama la Jana ni tukio lililokuwa likitazamwa na dunia nzima. Inawezekana dunia ilitaka kujua pia ubora wa UDSM kwa kuangalia na kuisikiliza "product" yake.

Liliulizwa swali jepesi mno, lakini lilijibiwa kwa kuzungukazunguka na pia kwa lugha mbovu kabisa.

Kwa kweli sio jambo jema kwa mtu mwenye PhD kuwa katika kiwango kile kilichoonyeshwa...UDSM kuna sehemu mmekosea/mnakosea.

Taarifa haijitoshelezi. Unaongelea tukio gani? Weka bayana otherwise unamatatzo usaidiwe
 
Ubora unaanza kwa indivual kabla ya institution. Ubora gani anaouongelea?
 
ww = wewe
angejib = angejibu
km = kama

Je mpaka hapo mimi na wewe nani ni mpumbavu? kama hata kuandika hujui unadhani mleta mada atakua amekosea alichoandika?
nan kakwmbia cjui?;umeona upumbavu wako? unajua aina ngapi za uandishi?
huu ni mtindo wa uandishi,hata kwenye mashairi unaruhusiwa kudondosha herufi ili lengo lako litimie!
 
Ni ligi ya Upepo wa pesa versus mtanganyika wa kweli. Ngoja niingilie hii kitu. Kwa ufupi, nilichokiona hapa watu hamjui ni mahali gani ni pakutumia hivyo vifupisho vya maneno. Lazima ujue hili ni aina gani ya jukwaa. Hivyo vifupisho humu kutumia si sahihi kabisa. Lazima tujue wapi na wakati gani wa kutumia hivyo vifupisho visivyo rasmi.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom