Umesema kweli, ila sema either umesahau au hujapenda kuweka bayana kuwa wapo wengi tu ambao ni viongozi bora na waadilifu waliotoka hapa, ukizingatia hamna course ya ufisadi apa.Na bila udsm pasingekua na mafisadi....escrow, epa, kiwira, zingekua ndoto
Ndugu yangu mbona unashindwa bidiisha kichwa??? Hujaambiwa useme ni product za wap!! Ndio walisoma udsm lakin sio wafanya kazi wa udsm, kusema tafiti za hao watu ni za udsm kisa hao watu wamesoma udsm ni kujitia uwenda wazimu!!! Toa jibu UDSM wamegundua nini ambacho mtanzania anaweza jivunia???Hawo waliofanya ugunduzi ni product ya udsm sijui mnajadili nini hapa ila kama unataka kujua zaidi karibu kwenye maonyesho ya idara zote za ud...ni vingi mno kila mwaka kuandika apa muda huo umeniishia
Hiyo ni software gani mbona sijawahi isikia???Nadhani hujahudhuria maonyesho ... mwaka huu nimeona new software's kwa ajili ya traffic dpt,health officials zilizokua developed na college of COICT, ....research ndio za kumwaga kila week zinatoka...ni nyingi mno kucatch public attention maana imekua kawaida udsm....tatizo ni kuwa serikali mara nyingi haiziangalii...
....kwahio kama hamna aliopost hapa it means hamna au...? Kama niivo ngoja nikalale tu.Mpaka mda huu UDSM imeleta/imegundua nini??? Mleta mada kawa open...kataja sua walichogundua, makerere pia!!! How about udsm!!???? Maana isijekua jina tu kumbe hamna kitu
Mi sijaona aliposema magari tu!! Zaidi ya kutolea mfano wa makerere na sua!!! Swali ni je, udsm wamegundua nini mpaka leo???Post yake haikukaa vizuri, kila chuo kina vipaumbele vyake kielimu, ndiyo kitafiti na kiuvubuzi kipo njema,sema jamaa anataka uvumbuzi wa magari tu.Ila anaweza kusoma tafiti na fumbuzi mbalimbali zilizofanywa na UDSM, tena maadam amesema yuko hapo hapo ananafasi nzuri ya kujua mengi,maana VITIVO vyote viko hapo,atembelee kimoja baada ya kingine apate maelezo.HEADING ILITAKA WADAU TULIO SOMA HAPO TUTETEE CHUO CHETU.
Juhudi zako zimeishia hapo ndo maana hujaisikia, mimi nimeiona.Hiyo ni software gani mbona sijawahi isikia???
Unamaanisha wanaosoma pale coet ni sawa na vijana wa veta???Udsm Ni Chuo kikuu cha Taifa ila Vingine ni Taasisi za Elimu ya Juu.
Wale wanaosoma course za Uinjinia na wale wanaosoma VETA Ufundi wanatofautiana Makaratasi (vyeti) ila wote ni Mafundi Kujenga.
Unasoma chuo gani? Au na wewe uko udsm??? Mwaka wa pili hujui kuandika barua??Nitampa secretary idea yeye ataniandikia barua hiyo ndio profession yao, niko mwaka wa pili chuo sijawahi kukutana na course yakuandika barua kwa level ya degree,,, hawategemei sisi kufanya kazi hizo wapo wataalamu wake.
Najua ila siandiki....sio kazi yangu kuandika barua...Unasoma chuo gani? Au na wewe uko udsm??? Mwaka wa pili hujui kuandika barua??
Hiyo ni sample ya recent products kutoka ud..you can imagineuko chuo gani kaka?hujasoma hata communication skills?
Kuna mmoja kasema atampa barua secretary amwandikie...yeye yuko mwaka wa pili ud na hajui kuandika baruaI expected alumni wa udsm mtaleta facts at least,
But the thing is hakuna hata mmoja ameelewa hata mtoa mada anataka nini,
I am really shocked,
Is this what you are learning out there?
Tena nadhani hizi ni products za hivi karibuni,
Hii inaonesha jinsi gani elimu yetu imeshuka..
Wizara inatakiwa isifumbie macho hili suala..
Kuna mmoja ameelezea angalau DIT wanafanya something kinaonekana useful..
Na huwa nikipita kule SIDO napata faraja sana, jamaa wanafanya inventions na wengine hata secondary hawajaenda.
Ila jinsi alumni wa udsm tunajibu hoja humu, ni obviously tuna shida kwenye mfumo wetu wa elimu
So you're a lawyer (from udsm) na hujui kuandika barua???Hujataka kuziona kwasababu umejicondition hivyo....ila jaribu kufikiria udsm isingekuwepo Tanzania ingekua vipi? Kwa kweli Historia ya Tanzania ingekuwa tofauti na tunavyohifamu leo.
Acha battle bwana ..nipo udsm. First year Nilisoma communication skills for lawyers hamna uandishi wa barua,barua nimesoma form one na form six language 1 topic ya writing.
Hiki ni kilio mkuu, mtu anasoma sheria alafu hajui kuandika barua!!Hahahahahaaaa
Huku tunafundishwa kubwabwaja...[emoji13] [emoji13]So you're a lawyer (from udsm) na hujui kuandika barua???
Mbona swali liko open??? Kasema weka tafiti zenye tija zilizofanywa na chuo chako hapa!!! Yeye kaweka ya sua na makerere kwanini wewe hutaki kuweka zaidi ya kubwabwaja???
Wamegundua nini chenye tija mpaka sasa ivi??Chuo ni Ardhi pekee tz
Ndo tunaomba uweke link hapa tuione, pia useme imesaidia nini huko kwenye ajali zinazotokea kila sikuJuhudi zako zimeishia hapo ndo maana hujaisikia, mimi nimeiona.
Waone udsm COICT .... ndio wamiliki siwezi kupost hapa itakua copyright infringement.Ndo tunaomba uweke link hapa tuione, pia useme imesaidia nini huko kwenye ajali zinazotokea kila siku
UDSM ni chuo kikubwa na kikongwe je ukubwa wa UDSM ni nini au unatokana na ukubwa wa eneo au ubora wa elimu.
Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.
NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu
UDOM-?
DIT-?
Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele