Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "URGUMENT" unaweza tiliwamashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU