hamisi mbonde
New Member
- Dec 24, 2013
- 4
- 1
Juice za viwandani zina kemiko nyingi huwenda ikawa tumbo lako limeshazikataa hizo kemiko ndio maana tumbo likaleta mfulugo
juice wanatengenezea maembe yalooza,usiulize sanajamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
Ndo ushsuri garni sa sa mwambie anywe maziwajuice wanatengenezea maembe yalooza,usiulize sana
hahahaaaaaaNdo ushsuri garni sa sa mwambie anywe maziwa
halafu kwani ugali hakuna??aaahHalafu km ulikuwa unakunywa cku zote lkn leo ndio imetokea hvyo huoni kwamba kuna walakini na huo msosi wakobwa leo ukiachana na hiyo juice
halafu kwani ugali hakuna??aaah
jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
na wanaokunywa maji ya bwawani wasemeje?eti juice!!Huyu nae leo hakuwa na cha kupost,km kila baada ya dk 5 unatapika utakuwa na mimba ww
Jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo sasa hivi natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vibaya.
Juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.
Nipeni ushauri wenzangu.
Mm nipo karibu na kiwanda cha azam kinachotengeneza hizo juice.Nje ya kiwanda unakuta magari ya matunda yanayosubiri kuingia kiwandani yanakaa mpk cku 3 nje,matunda yanaozea pale nje.Lkn inasemekana matunda yakioza ndo juice inano
Sikuwah kujua hilo ina mana wanachangay wadudu
Jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo sasa hivi natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vibaya.
Juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.
Nipeni ushauri wenzangu.