Ubora wa juice za Azam una mashaka

Ubora wa juice za Azam una mashaka

Kampun likishatoka tu, mwenye nalo anakuwa mzembe ana take 4granted
 
Mi nishawahi kununua juisi yao ya machungwa mbona nilikoma!

Juisi ilikuwa na ladha ya ajabu ajabu ambayo hata siwezi kuielezea vizuri.

Chungu si chungu, harufu mbaya kama vile walitumia machungwa yaliyooza, nzito utadhani uji, hovyo kabisa.

Ubora wa bidhaa za Azam uko chini sana.
Hii juisi ya chungwa ya Azam, bila shaka imekosewa sample combonation yake halafu cha ajabu sijui kwanini hawaiondoi sokoni sample hiyo. Kwa kawaida nilikuwa nikinunua juisi ya Apple au Embe, kuna siku hizo juisi hazikuwepo so nikachukua orange, aiseey! Sikuweza kumaliza hata ujazo wa kizibo cha soda. Kama mleta mada alikunywa hii, ni budi imsumbue, ila brand zake nyingine ni nzuri.
 
juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
Sasa hapa itabidi ufafanue kwani inaonyesha mchawi wako sio juice ambayo unasema umezoea kunywa juici hiyo karibu kila siku. Je ni kila siku ukinywa hali inakuwa hivyo? Kama no, anza kuvuta kumbukumbu mkuu chanzo chengine cha hali uliyobayo. Lkn la muhimu ni kuwahi hospitali
 
Hii juisi ya chungwa ya Azam, bila shaka imekosewa sample combonation yake halafu cha ajabu sijui kwanini hawaiondoi sokoni sample hiyo. Kwa kawaida nilikuwa nikinunua juisi ya Apple au Embe, kuna siku hizo juisi hazikuwepo so nikachukua orange, aiseey! Sikuweza kumaliza hata ujazo wa kizibo cha soda. Kama mleta mada alikunywa hii, ni budi imsumbue, ila brand zake nyingine ni nzuri.

Duh! Afadhali kuna mwingine tunaye share naye experience ya hiyo juisi yao ya machungwa.
 
mleta mada unazingua wewe sasa kama tumbo limekuzingua unakuja mtandaoni kufanya nini nenda hospital huwenda ukawa unaumwa mengine tu na sababu sio hiyo juisi wala nini tena wewe mhuni mkubwa kabisa!! wewe kutwa nzima hujala kitu lazima lizingue sema ukweli hujashinda njaaaa wewe leo!!

ulevi noma! inamaana unaona kunywa majuisi ya matunda yaliyooza huko kwenu ni sawa tu!
 
Kuna kitu kimoja watu wanasahau kuangalia kwenye hizi juice.

Mara nyingi hua kwenye mdomo pale juu panapitishaga hewa kwa pembeni. Sasa hata kama expiry date bado, but hewa ikishapita tu ni tatizo tayari, ni sawa tu na kuifungua ukaiacha open.

Ukinunua hizi juice, wakati umeishika jaribu kuminya box kimtindo uone kama haitoi upepo
 
Tusilaumu moja kwa moja ubora wa Juice za Azam,
Wewe umesema ulikuwa unakunywa kila siku na leo ndio tumbo limeuma.
Sasa hapo tu inaonyesha kwamba tatizo sio Azam Juice moja kwa moja.

Hii ni sawa na mtu akioa mke na siku wakiachana,yanaanza matusi we mwanamke gani hata ...hujui,wakati mlikuwa mnaitana Honey,sweetie,embe dodo,darling.Kisha mnarudiana na kusahau yaliyopita baada ya kujua mchawi wenu

Matatizo yanaweza kuwa sehem mbili
-Zile zina kiwango maalum cha kuhifadhiwa kulingana na combnations zale.Utunzaji wa maduka yetu tunaujua,na ndio maana mnashauriwa kwenda kununua kwenye maduka yenye mzunguuko mkubwa,ili bidhaa iswe imekaa sana katika hali ya Joto
-Inawezekana kwamba unamatatizo mengine ya tumbo tu,maana kama tumbo limekuuma na ulipoenda chooni uharo haukutoka kwa sauti ya aazaaaaaaam juuuiiiiicccccce pratratatatata.

Sasa ni ngum kuelekeza lawama moja kwa moja kwao.
Kuna siku unaweza ukala hata big G ukasikia tumbo linauma,sasa kama ni juice ndio tatizo basi nunua tena nyingine ndio utajua.

Na pia angalia mchanganyiko wa chakula unachokula.
Mfano mdogo tu,we Kula maharage,halafu nunua Karanga za sh:100 kula,then baada ya nusu saa utaniambia.

Bado Juice yao ipo vizuri mpaka sasa,tatizo ni utunzaji wetu baada yakununua kutoka kiwandani
 
Dada nunua blenda andaa juice yako mwenyewe kwa maji safi na unaosha matunda vizuri.viwandani wanachukua matunda yalioza na mazima bora twende.
Huu ndo ushauri mzuri mimi situmiagi kabisa nina kama miaka 3 kuna wakati nilizifungua nikakuta vituko ambavyo sio vyema kuandika hapa wasije wakasema ni hujuma.Nanunua matunda na tunatengeza juice ya familia na ina uhakika.Hizi juice za hawa waarabu na hawa wahindi hata wenyewe hawazitumii!!
 
Mm nipo karibu na kiwanda cha azam kinachotengeneza hizo juice.Nje ya kiwanda unakuta magari ya matunda yanayosubiri kuingia kiwandani yanakaa mpk cku 3 nje,matunda yanaozea pale nje.Lkn inasemekana matunda yakioza ndo juice inanoga.

yereuwiiiiiiiiiiiiiii
 
Ukiwa mtanzania ukasema hizi za waarabu name hizi za wahindi maana YAKE umefilisika kiakili na ufaham wako mdogo.kuwa karibu name kiwanda Haina maana unajua kila kitu je anaekaa karibu na kiwanda cha bia mlevi? Azam Mara zote humjali mlaji na kwa taarifa yenu ni kiwanda pekee cha kitanzania kinachomkomboa mwananchi mashine na miundo mbinu YAKE hakuna east and central africa.a cha kuropoka kuwa muulizaji.nenda kaombe kutembelea ukaone uhalisia cc wenzio tumeenda na time on a ukweli usiwe ----- uliza ujuwe
 
Kwani mashine ndo bidhaa kwa hiyo kama matunda yameoza hizo mashine zitarudisha matunda kwenye hali ya kawaifa au inayotakiwa?Nasema waarabu wengi na wahindi hwanywi juice wanazotuuzia wanasema hizo ni za biashara.Siwezi kuuliza haya ninachokielewa.
 
jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu

Uwage hata unatembelea jukwaa la madokta hii kitu ishaongelewa na akina MziziMkavu vizuri tu!! Chukua hatua mkuu...chagua maisha!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna haja ya kila unapopost kitu humu uandike na age yako kwa chini,yaani mtu mzima unakunywa juice!??? mimi hata niishiwe vipi mfukoni siwezikosa 300/= ya kiroba!
 
TFDA kazi inawashinda....wako wachache hawataki kuajiri wafanyakazi wapya...ufanisi wa kazi unapungua kozi ya misongamano ya kazi.
Pole kaka.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk

Siyo kwamba hawataki kuajiri, tatizo ni IKAMA ndiyo haiwaruhusu, ni taasisi inayokua, hivyo itaendelea kuajiri kwa kadri itakavyokuwa inapata kibali toka tume ya utumishi wa umma.
 
Hiyo ni kashfa babazako Wa zungu wanayakubali Maji ya zam zam limbukeni Wa maisha.
 
Si wezi kujibishana na MTU limbukeni asiependa kuuliza asiependa kuelimishwa kwa kuwa eti yeye anajua huo ndio ulimbukeni.tembea uone hilo ni muhim.kumbe ni suala la udini na kashfa.c mahala pangu
 
jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu

juice inauzwa kwa maelfu ya wa2 unalalamika we mmja 2 we ni mgojwa maradhi ya kisasa
 
Watanzania mi nadhan hakuna haja ya ku2mia majuice yaliyo sindikwa kiwandan wakati matunda 2nayo yakutosha au ndo fashion wanacho weka kwenye juice ni flevar 2 ya 2nda flan take care jali afya yako
 
Back
Top Bottom