Ubora wa juice za Azam una mashaka

Ubora wa juice za Azam una mashaka

mleta mada unazingua wewe sasa kama tumbo limekuzingua unakuja mtandaoni kufanya nini nenda hospital huwenda ukawa unaumwa mengine tu na sababu sio hiyo juisi wala nini tena wewe mhuni mkubwa kabisa!! wewe kutwa nzima hujala kitu lazima lizingue sema ukweli hujashinda njaaaa wewe leo!!

Bahresa acha ukorofi, jibu hoja.
 
Ni kweli suala la ubora wa juice za Azam unafakutazamwa upya.Mimi nilikuwa namnunuliwa mwanangu mtoto wa baby class box zima kwaajili ya kunywa wakati akiwa shule basi akapata tatizo la kukohoa mfululuzo kina nikimpeleka hosptal anapewa madawa makali makali nikaona nimpeleke kwa daktari bingwa wa watoto akamchunguza na kuniuliza vyakula na mafuta ninayotumia nilipomtajia juice ya Azam akaniambia moja kwa moja hilo ndiyo tatizo la mtoto kukohoa nilipomwachisha sasa ni mwaka wa pili hakuna cha kukohoa wala kupaliwa hovyo.Isitoshe juice za Azam haziryhusiwi Kenya kwasababu ya kushindwa kufikia viwango na pia makemikali mengine si mazuri kwa matumizi ya binadamu.
 
Jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo sasa hivi natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vibaya.

Juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.

Nipeni ushauri wenzangu.
pole sana ukiona juisi au chakula chochote kilicho ndani yabux au kopo au chupa ya plastiki kimeandikwa neno hili : Ingredients (Viungo) na Expire date ( Tarehe ya kumalizika kutumika) ujuwe hicho chakula au juisi ni Feki hakuna chakula cha ukweli ukakipata kiwandani vyakula vingi vya viwandani ni Feki ni vyakuala vya kutengenezwa kwa afya si vizuri muwe waangalifu sana ndugu zanguni.
 
Inawezatokea tu hitilafu na si kwa bidhaa zote zinazozalishwa kwa hiyo kosa la paketi moja usilaumu bidhaa zote kwenye kampuni ya Azam
 
Ila hizi juice bana. Mimi huwa kwanza najiuliza ukimimina haiishi yote,kuna siku niliinunua ukimimina inatoka inamabongemabonge nikaimwaga.
Kunasiku nilisoma thread hapa ikihusu juice hizi hizi.
Alikuja rafiki yangu kwangu akanielezea alichokuta kwenye hizi juice na kuapa kutozinywa.
Ukweli sasa nina zaidi ya mwaka sinywi hizi juice.
Vyombo husika visukilize malalamiko haya na vichukue hatua, au wanasubiri mpaka iaffecf watu wengi kwa wakati mmoja?
 
Ngoja nikupe namba zao labda watakupa pesa za matibabu.
 
Back
Top Bottom