Ubora wa juice za Azam una mashaka

Ubora wa juice za Azam una mashaka

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,711
Jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo sasa hivi natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vibaya.

Juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.

Nipeni ushauri wenzangu.
 
jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu

Dada nunua blenda andaa juice yako mwenyewe kwa maji safi na unaosha matunda vizuri.viwandani wanachukua matunda yalioza na mazima bora twende.
 
Dada nunua blenda andaa juice yako mwenyewe kwa maji safi na unaosha matunda vizuri.viwandani wanachukua matunda yalioza na mazima bora twende.

I am a man, asante kwa ushauri anyway,yote hayo najua lakin time sasa
 
Mi nishawahi kununua juisi yao ya machungwa mbona nilikoma!

Juisi ilikuwa na ladha ya ajabu ajabu ambayo hata siwezi kuielezea vizuri.

Chungu si chungu, harufu mbaya kama vile walitumia machungwa yaliyooza, nzito utadhani uji, hovyo kabisa.

Ubora wa bidhaa za Azam uko chini sana.
 
I am a man, asante kwa ushauri anyway,yote hayo najua lakin time sasa

Sorry man ila mbona rahisi sana kuandaa juice yako mwenyewe? Nenda hosp. mkuu kuna kijana alikufaga kwa kula mkate wenye sumu alichelewa kwenda hospt wahi sana mkuu.
 
Tanzania Foods and Drugs Authority (TFDA) na TBS fanyieni kazi malalamiko haya kabla ya wananchi hatujajichukulia hatua (sheria) mikononi!

"huku lamba lamba, na kule whitedent" loh!
 
Kama cku ukibahatika ungie pale wanapozitengeneza utakunywa tena
 
jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
pole sana,wahi hospital kabla situation ocome worse..
 
Mi nishawahi kununua juisi yao ya machungwa mbona nilikoma!

Juisi ilikuwa na ladha ya ajabu ajabu ambayo hata siwezi kuielezea vizuri.

Chungu si chungu, harufu mbaya kama vile walitumia machungwa yaliyooza, nzito utadhani uji, hovyo kabisa.

Ubora wa bidhaa za Azam uko chini sana.
kumbe azam wamesambaa hadi montana?
 
jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
wasijekuwa wamekupoison?i mean hauna bifu na mtu katika family yako?
 
Mm nipo karibu na kiwanda cha azam kinachotengeneza hizo juice.Nje ya kiwanda unakuta magari ya matunda yanayosubiri kuingia kiwandani yanakaa mpk cku 3 nje,matunda yanaozea pale nje.Lkn inasemekana matunda yakioza ndo juice inanoga.
 
Hizo ndio product zetu za matajiri wetu hao wanaosifiwa na Forbes wakati ni wauaji. METL wana kiwanda chao kinaitwa East Coast ni hodari sana wa kutengeneza mafuta feki ya kupikia yaani ni kemikali tupu! Mimi binafsi huwa sinywi hayo majuisi...
 
TFDA kazi inawashinda....wako wachache hawataki kuajiri wafanyakazi wapya...ufanisi wa kazi unapungua kozi ya misongamano ya kazi.
Pole kaka.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Ivi na msimu huu wa maembe bado unakunywa juice za box/chupa za azam?
Pole wee, hio inaitwa killing me softly.

Hospital inakuhusu
 
Mi nishawahi kununua juisi yao ya machungwa mbona nilikoma!

Juisi ilikuwa na ladha ya ajabu ajabu ambayo hata siwezi kuielezea vizuri.

Chungu si chungu, harufu mbaya kama vile walitumia machungwa yaliyooza, nzito utadhani uji, hovyo kabisa.

Ubora wa bidhaa za Azam uko chini sana.

Mi sikuwah kujua taste za izo juice, naona mazaga tu.

Zamani nkinywa mazza, sikuizi nazo pia sijui wanachakachua ziko ovyo
 
mleta mada unazingua wewe sasa kama tumbo limekuzingua unakuja mtandaoni kufanya nini nenda hospital huwenda ukawa unaumwa mengine tu na sababu sio hiyo juisi wala nini tena wewe mhuni mkubwa kabisa!! wewe kutwa nzima hujala kitu lazima lizingue sema ukweli hujashinda njaaaa wewe leo!!
 
Back
Top Bottom