Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

Kwa director was bongo, nafikiri ni upepo tu, director wangu wa muda wote atabaki Adam Juma, wakapita Kallaghe, Eren Epidu, Nisher na Msafiri Shaban, dogo simuelewi kivile
 
kuhusu idea za video mondi ana maadui mzee, nani alikuwa anamjua iza hapa bongo???
Nandy video yake ya na nusu kuna kipande amekopi kwenye video ya tip toe ya Jason delulo ila ulisikia wapi inaongelewa???
Kuna ile wezele ya rich mavoko alikopi full video ya burnaboy ya on the low ila hakuna ilipoongelewa.
Mti wenye matunda ndio ambao hupigwa mawe, hanscana anacopy video nyingi tu sema tu hafuatiliwi.
Saw a nakubali lakini bado hujataja hizo kazi alizo copy hanscana wezele.ya mavoko alishoot Luca shwahili
 
Saw a nakubali lakini bado hujataja hizo kazi alizo copy hanscana wezele.ya mavoko alishoot Luca shwahili
kushoto kulia kakopi kwa baba lao,
Mpaka kesho kakopi kwa mdogo mdogo,
Hizo ni za hapa nyumbani ambazo zimeonekana moja kwa moja kwa sababu amekopi kwa msanii wa nyumbani.
Kumbuka wabongo wengi hawashobokei sana nyimbo za nje ndio maana huwa hazitokei sana trending pale YouTube halafu kazia hapo mondi ana maadui sana, hivi unadhani kama hanscana anacopy idea Brazil huko kuna mbongo ataanza kuzitafuta???
In short naweza kusema idea mpya za video hapa bongo ni chache sanaaa
Diamond ni mti wenye matunda ndio ambao hupigwa mawe.
Hata Kiba anacopy sema tu ndio vilee...
 
Back
Top Bottom