SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?
uhasibu na uodita sio taaluma bali ni vocational skills ambazo kila mtu anazo, huyu wa mwanzo ni karani wazungu wanamuita clerk au book keeper wa pili ni mkagua vocha na kuangalia kama karani amefata taratibu zilizowekwa. kama uliweza kukokotoa hesabu za mafumbo za darasa la tano mpaka la saba la enzi za mwalimu mpkaka wakati wa mzee mwinyi ndo hayo wanayofundishwa huko chuo kikuu sema lugha inayotumika ni kiingereza na hesabu hizo za mafumbo wamezipa majina ya managerial accounting na financial accounting, muulize ludovick utoh ni std seven lakini ndio auditor na mhasibu namba moja bongo