Ubora wa degree za uhasibu maofisini

Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?

uhasibu na uodita sio taaluma bali ni vocational skills ambazo kila mtu anazo, huyu wa mwanzo ni karani wazungu wanamuita clerk au book keeper wa pili ni mkagua vocha na kuangalia kama karani amefata taratibu zilizowekwa. kama uliweza kukokotoa hesabu za mafumbo za darasa la tano mpaka la saba la enzi za mwalimu mpkaka wakati wa mzee mwinyi ndo hayo wanayofundishwa huko chuo kikuu sema lugha inayotumika ni kiingereza na hesabu hizo za mafumbo wamezipa majina ya managerial accounting na financial accounting, muulize ludovick utoh ni std seven lakini ndio auditor na mhasibu namba moja bongo
 
  • Thanks
Reactions: dkn
wote mnazingua issue kulima kilimo cha jembe la mkono hasa viazi mviringo vinalipa sana alafu degree yako hiyo unaiweka kapuni ukipata zabuni unaitoa kuombea zabuni kama moja ya sifa zako sijui maofisini tutafungwa bure maana tamaa za sasa zimezidi sana baina yetu
 
uhasibu na uodita sio taaluma bali ni vocational skills ambazo kila mtu anazo, huyu wa mwanzo ni karani wazungu wanamuita clerk au book keeper wa pili ni mkagua vocha na kuangalia kama karani amefata taratibu zilizowekwa. kama uliweza kukokotoa hesabu za mafumbo za darasa la tano mpaka la saba la enzi za mwalimu mpkaka wakati wa mzee mwinyi ndo hayo wanayofundishwa huko chuo kikuu sema lugha inayotumika ni kiingereza na hesabu hizo za mafumbo wamezipa majina ya managerial accounting na financial accounting, muulize ludovick utoh ni std seven lakini ndio auditor na mhasibu namba moja bongo

ha ha ha ha!
 
bora ni wewe....nyiye na accounting zenu za kuvamia vyuoni ni zima moto tu....Kijana aliyesoma bookkeeping vizuri na akafaulu NECTA form iv ni mkali wa accounts kuliko wewe na Bcom yako ya udsm unayojisifu nayo.....jiamini wewe na si chuo...walosoma ECA ndo hata usiseme..uelewa wao wa Accounting ni mkubwa mno....wanachohitaji wale ni experience tu...
Kaa kimya wewe Perry.
 
udsm itakusaidia tu kuwalagai mabinti wa shule za kata kule kijijni kwenu kwa kuwaambia ama kujifagilia nipo UD na mbwembwe kibao...ila kuhusu kazi UWEZO wako ndo utakuuza kijana...interview mkiitwa pale utakutana na watu toka vyuo kibaaao..watu wana vitu kichwani vya hatari..hawana majivuno bali hekima na kujiamini......mnapigwa written interview pale
sijui utaandika nini.....hawaulizi umesoma wapi na kwenye answer sheet uandiki chuo chako..ni jina tuu kijana...unatakiwa uwe na knowladge ya accounting/bookkeeping kwelikweli...si maneno....
UDSM tunao sana na tunakutana nao ktk interview kibao...ni wakawaida sana na tumewapiga chini kiulaini mno......
U a own competence ndo suala aisee....
jizijuzi hapa tumefanya interview kwa ajira za tra...
Assistant customs officer....Udom walifanyavizuri kuanzia written mpaka oral na wamelamba kazi wengi mnooooo..mzumbe wakafuatia na Muccobs
Assistant A/C tukafanya written watu 50...kumi na nane wakapita na ktk hao vijana wa udom n zaidi ya 10.
wameenda ktk oral na zaidi ya sita wa udom wamelamba kazi hapa mamlaka.
je? hao UDSM walikua wapi? walilogwa? so jivunie uwezo wako binafsi na usibweteke na jina la chuo....................
najua wanafunzi wengi ndio mnakua na mawazo hayo ya kichuochuo....ukikaa mtaani kwa miezi kama sita na udsm yako kichwani lazma ushike adabu...na presha itakua imeanza kupanda kwani vijana wenye kujituma kutoka Mzumbe,Udom,Muccobs,Ifm,TIA etc wapo maofisini na ndo wahasibu....Nyambafu...................
 
Ni ulimbukeni kukizungumzia chuo, Jizungumzie wewe binafsi unaouwezo ?
kwani ni chuo ndo kinapata GPA au wewe binafsi.
kama ni disco ni wewe mwenyewe sio chuo
kama ni degree ya pass au first class inakuhusu wewe mwenyewe na uwezo wako.Chuo akisifiwi wala kulaumiwa.
 
uhasibu na uodita sio taaluma bali ni vocational skills ambazo kila mtu anazo, huyu wa mwanzo ni karani wazungu wanamuita clerk au book keeper wa pili ni mkagua vocha na kuangalia kama karani amefata taratibu zilizowekwa. kama uliweza kukokotoa hesabu za mafumbo za darasa la tano mpaka la saba la enzi za mwalimu mpkaka wakati wa mzee mwinyi ndo hayo wanayofundishwa huko chuo kikuu sema lugha inayotumika ni kiingereza na hesabu hizo za mafumbo wamezipa majina ya managerial accounting na financial accounting, muulize ludovick utoh ni std seven lakini ndio auditor na mhasibu namba moja bongo
Acha kuongopea uma ww.. Huna aibu kusema utouh ni std seven..? Hujui lizungumziwalo, hiyo ni taaluma kubwa sana na si kila mtu anaweza fanya accounting ama auditing..
 
Acha kuongopea uma ww.. Huna aibu kusema utouh ni std seven..? Hujui lizungumziwalo, hiyo ni taaluma kubwa sana na si kila mtu anaweza fanya accounting ama auditing..

uto ni darasa la saba sema kaongezea kikozi fulani kinaitwa NABOCE,akaongeza na ka-CPA(T), haka ka CPA(T) duniani kote kanatambulika tanganyika tu ukienda zanzibar hawakatambui
 
Back
Top Bottom