Ubora wa degree za uhasibu maofisini

Kenny Onney

Member
Sep 6, 2011
11
1
Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?
 
Upuuzi mtupu,hapa utapata majibu mchanganinyiko.Ambapo kila mhasibu atajibu kwa kutetea chuo alichosoma.Cha msingi kama upo serious kujua hili ni vema kuwatembelea waajiri mbalimbali na kuwauliza,hapo unaweza kupata majibu sahihi!
 
No place like udsm,bcom-accounting ya hapa imetulia sana,ikifuatiwa kwa mbali sana na vyuo kama IAA na mzumbe.
 
Mimi naona haijalishi unatoka katika chuo gani kama unajituma kusoma na kumaliza vizuri ndio jambo la msingi,kuna watu wanatoka katika vyuo vikubwa na vya maana lakini ufanisi wao wa kazi unashangaza maana ni madudu matupu.
 
No place like udsm,bcom-accounting ya hapa imetulia sana,ikifuatiwa kwa mbali sana na vyuo kama IAA na mzumbe.
Ndiyo ulikuwa unasubili majibu kama hayo?aina hii ya majibu utaipata mbaka utachoka.Sasa mtu anasema UDSM bila hata kutoa sababu za msingi kwa nini anasema hivyo!Mwingine atakwambia CBE inatisha!!!
 
By perry
I heard watu wanaipa promo BAF ya mzumbe kuliko bcom za udsm.. Tutoe honest answers jamani coz kna watu tutafanya choices kulingana na majibu yenu.. Tusitetee vyuo vyetu.. Swali langu linalenga kujua wepi ni more marketable?
 
nilitaka kuacha kuchangia kwani ni upuuzi na ujinga kuongelea vitu kama hivi!
ila elimu ya sasa inapimwa na kitu kinachoitwa compentent based sio knowledge based
na kipo ninachotumiwa kwenye soko la ajira ni cpa! huyo ndo mhasibu mzuri
japo siku hizi kuna wahasibu certified wahawezi kufunga financial statement!
kwa hiyo ubora unapimwa na ufanisi wa mtu
 
Ina Maana hata CPA za chupi na mtoto wa nani huyu zimeanza kuingia,?mie naona IFM,Wanajitahidi vijana wao mpaka sasa KULIKO WA UDSM hawajitumi na wanajiona wapo juu kwa maneno ya ubishi ubishi na kujimboss themselves kama wakenya maofisin,
Vijana waIFM Walioingia kwa mkopo au kujisomesha wenyewe ndio wazuri wajaribun
 
ebu tutolee upuuzi wako hapa,ifm nacho ni chuo cha kutoa graduates wa maana?
 
Waulize NBAA ndio wanaohusika na kutahini 'wahasibu'.
 
Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?

Ubora unapimwa kwa results/performance ya mhusika wala sio chuo alichosoma mtu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ina Maana hata CPA za chupi na mtoto wa nani huyu zimeanza kuingia,?mie naona IFM,Wanajitahidi vijana wao mpaka sasa KULIKO WA UDSM hawajitumi na wanajiona wapo juu kwa maneno ya ubishi ubishi na kujimboss themselves kama wakenya maofisin,
Vijana waIFM Walioingia kwa mkopo au kujisomesha wenyewe ndio wazuri wajaribun

Siyo CPA za chupi!Embu fikiria,kijana amemaliza chuo ,akajiandikisha kufanya mitihani wakati anaendelea kutafuta kazi.Kabla hajapata kazi,tayari amepata CPA.Je unafikiria huyu ataweza kufanya hizo kazi za kufunga vitabu?Ndiyo maana hata chombo chao NBAA kinasema ukipata CPA basi ufanye kazi miaka 3 chini ya mtu ili kukutrain kivitendo zaidi maan nadhari tayari anakuwa nayo.
 
Mie nimepita kote UDSM na Mzumbe.
Kutoka moyoni nasema Mzumbe ndio chuo bora kwa sasa haswa kwenye nyanja ya uhasibu na utawala.
Kwa nini??

Nenda kaangalie package ya kozi wanazotoa,scope ya kile wanachokifundisha,methodogy na wataalam.. ambavyo nafikiri ndio kikubwa cha kuangalia unaposema ubora.
 
ebu tutolee upuuzi wako hapa,ifm nacho ni chuo cha kutoa graduates wa maana?

IFM na TIA ndo wanafanya vizuri kwenye soko. IFM wana Accounting packages and Tally inawabeba sana. TIA ni wababe wa Govt accounting!
 
hata mm wa TIA nitasema mimi ni bora, n nani atasemea mwenzake wakati ujamfanyia job approisal?.....mtoa uzi huu ni mzandiki tu,, ana lolote la maana kuliza?
 
Back
Top Bottom