Ubora wa degree za uhasibu maofisini

Siyo CPA za chupi!Embu fikiria,kijana amemaliza chuo ,akajiandikisha kufanya mitihani wakati anaendelea kutafuta kazi.Kabla hajapata kazi,tayari amepata CPA.Je unafikiria huyu ataweza kufanya hizo kazi za kufunga vitabu?Ndiyo maana hata chombo chao NBAA kinasema ukipata CPA basi ufanye kazi miaka 3 chini ya mtu ili kukutrain kivitendo zaidi maan nadhari tayari anakuwa nayo.

Yale yale makosa tunayoyafanya kutokana na mbio zetu za maisha ,tunaacha misingi tuliyoiweka wenyewe na kuangalia madarasa yajae matokeo ndio haya,master zilizoshallow,CPA ZA Kushindanishwa kukariri,
 
No place like udsm,bcom-accounting ya hapa imetulia sana,ikifuatiwa kwa mbali sana na vyuo kama IAA na mzumbe.

imtuliaje mkuu? Mbona mbwembwe za walimu na majisifu ya wanafunz tu ndiyo yaliyojaa? Hivi kuna specialization ambayo watu wanafeli zaidi kama accounting hapo UDSM?
 
Mmh ila Mzumbe wana mambo
Likizo semister ya kwanza mwaka wa kwanza kuanzia February mpk july..Likizo mwaka wa pili kuanzia june mpk march akirudi chuo anakuja kumalizia semister yake moja ya mwaka wa tatu.
Mi nilisikia tuu..eti mliopta huko tujuzeni.

By the way mhasibu bora ni yule mwenye kufuata misingi ya kazi na kukielewa kile akifanyacho katika kazi ya uhasibu.Hayo yote yanatokana na juhudi binafsi ndo mana kuna watu walianza na NABOCE ila wanahekima na wanafanya kazi yao ya uhasibu vizuri.
 
I think CPA ndio kipimo cha ubora wa degree yako...ndo mana kuna wengine wanaitafuta for up to ten years regardless umesoma udsm au cbe
 
Nimekaa kimya naona sasa ni wakati wangu wa kufunguka,naanza kuuliza wale wa udsm,mzumbe,nk ni course gan vyuo vyenu vinafundisha ambazo hazipo vyuo vingine? Nichukulie chuo bora kwa uhasibu tz muccobs,je udsm,mzumbe mnafikiri unaweza kucompete na hawa watu? Je unatambua thamani ya uhasibu wao tz,east africa na southern sahara desert? Je unajua shule iliyopo pale na course wanazosoma? Je unajua pass mark zao? Je unatambua thamani yao NBAA? Fanya utafiti usije kukurupa kujibu kama mwendawazimu then mwenyewe utanambia,
 
toa upuuzi hapa,muccobs nacho ni chuo cha kukilinganisha na mzumbe,ud au hata IAA?
 
Nawe unajiproud bure MUCCOBS ni sawa tu na IAA,TIA AU CBE, Mbaya zaidi hamnatakwimu za kudhihrisha ubora wa vyuo vyenu.Kwa Takwimu za NBAA kwa miaka mingi ni UDSM yenye kuongoza kutoa wahansibu wa CPA kwa ubora na idadi ya kila mwaka.Mzumbe inazidiwa na IFM kwa wanafunzi wenye uwezo wa kutnukiwa CPA.Na kizuri zaidi mitihani na course za vyuo vyote vyenye kutoa shahada ya uhasibu inaratibiwa na NBAA isipokuwa UDSM pekee ambao mitihani ya na kozi za B.COM haipelekwi NBAA kwa ajili ya kuwa modulated.UDSM ni kitu kingine kwa maelezo zaidi wasiliana na Pius Maneno -nbaa director au pitieni report za nbaa examination results za kila mwaka.
 
nadhani hujaelewa mada, MAOFISINI!! MAOFISINI!! MAOFISINI
 
toa upuuzi hapa,muccobs nacho ni chuo cha kukilinganisha na mzumbe,ud au hata IAA?

Perry nimekwambia usikurupuke kijana tumia vigezo,ww udsm una nn unique ambacho muccobs hana? Na then uniulize muccobs ana nn ambacho vyuo vyote bongo hamna,ni jibu nitakujibu.
 
Nawe unajiproud bure MUCCOBS ni sawa tu na IAA,TIA AU CBE, Mbaya zaidi hamnatakwimu za kudhihrisha ubora wa vyuo vyenu.Kwa Takwimu za NBAA kwa miaka mingi ni UDSM yenye kuongoza kutoa wahansibu wa CPA kwa ubora na idadi ya kila mwaka.Mzumbe inazidiwa na IFM kwa wanafunzi wenye uwezo wa kutnukiwa CPA.Na kizuri zaidi mitihani na course za vyuo vyote vyenye kutoa shahada ya uhasibu inaratibiwa na NBAA isipokuwa UDSM pekee ambao mitihani ya na kozi za B.COM haipelekwi NBAA kwa ajili ya kuwa modulated.UDSM ni kitu kingine kwa maelezo zaidi wasiliana na Pius Maneno -nbaa director au pitieni report za nbaa examination results za kila mwaka.

sikia unajua muccobs vijana wengi wa a/c hawakai mtaani kabisa,then ukija kwenye issue ya nbaa angalia rate ya wanafunzi wa kila chuo na wanaopata kati yao,udsm CPA wanafanya 100 wanafaulu 15,muccobs wanafanya 25 wanafaulu 10,sasa kipi bora kati ya hivyo viwili? Angalia majority fails iko wapi.
 
tupe source za hzo data zako,sio kutunga tunga 2 hapa..we unasoma mambo ya ushirika ulimwengu huu utegemee nawe uwe compitent!muccobs level yake ni vyuo kama saut,tumain au teku!
 
hata mm wa TIA nitasema mimi ni bora, n nani atasemea mwenzake wakati ujamfanyia job approisal?.....mtoa uzi huu ni mzandiki tu,, ana lolote la maana kuliza?

Kwa kweli MU Graduates wameshka soko la ajira hususani katika fields za uhasibu na utawala, Ukitaka kujua hili nenda kaulize waajiri wa makampuni mbalimbali hususani Auditing Firms kama PWC , KPMG n.k.
 
Back
Top Bottom