Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,071
- 43,518
Tangazo kuonyeshwa haimaanishi kwamba eti nchi zote hilo tangazo linapoonekana hio bidhaa ipo.
Tangazo za tecno UK hili hapa anayesema tecno ni ya africa tu
ploudly ngosha
kwako wewe, ila kwa mtu anaeiijali hawezi tumia kitu chenye risk,Kama aijapimwa you mean "NO RESEARCH NO .......TO...." malizia huo usemi
Kila mtu anavutia kwake, fair comparison hii hapa:
Tecno Phantom 6 Plus vs Samsung Galaxy S7 Edge
Hivi mkuu na hizi simu za infinix unazionaje maana sizielewi na zimeshika sana chat kwa sasa.si kweli mkuu hapo hizo ni list ya specs hakuna comparison, ngoja nikuulize maswali
-wapi wameandika aina za ram? ni ddr3 au ddr4 ni single chanell au dual chanell?
-hizo storage ni zipi? ni emmc au ufs zina speed kiasi gani?
-sensor ya camera ina ukubwa gani? ina ois?, aperture je, kama haina ois ina hata eis? inarecord 4K? kama ndio fps ngapi?, ni wide angle? etc
ukiangalia tu hayo mambo matatu utaona hakuna comparison hapo.
infinix ni kama Tecno tu mkuu, ni kampuni moja, zinatumia mediatek pia,Hivi mkuu na hizi simu za infinix unazionaje maana sizielewi na zimeshika sana chat kwa sasa.
Eti mji wa Manchester iliko ile timu ya mpira inaitwa Manchester City ambako hua naliona tangazo la Tecno upo nchi gani hapa Afrika?Mkuu hivi unafahamu tecno inauzwa africa tu,tena sio nchi zote,sasa utanishawishi vipi kuwa simu ambayo hata FCC hawaitambui inaweza kuwa na kamera bora kuliko flagships za samsung na wengineo wanao compete worldwide.?
Kumbe hakuna kitu hapo, kweli nimeamini watumiaji wa mediatek wana mbwembwe.infinix ni kama Tecno tu mkuu, ni kampuni moja, zinatumia mediatek pia,
Hao wanao ziunda tecno wanaakili kuliko uzao wako wote arafu unaleta dharau !! Risk gani kama wewe una akili kuzidi waliyounda tecno kwanini usiipime wewe ubora wake uje na ushahidi mana naona unakata mauno kwa muziki usio uelewa .umesema aijapimwa basi ipime wewe na kwataarifa yako siyo rahisi mzungu kukwambia ubora wa tecno kwa sababu wanaiogopa ingekua siyo bora wangesha ipima sikunyingi na kuanika adharanikwako wewe, ila kwa mtu anaeiijali hawezi tumia kitu chenye risk,
mbona huendi kwenye jalala kula kwani kila kitu jalalani kimepimwa kina madhara?
mkuu tecno imetengenezwa wapi? mpaka leo humu jukwaani kuna mamia ya thread hakuna anae juaHao wanao ziunda tecno wanaakili kuliko uzao wako wote arafu unaleta dharau !! Risk gani kama wewe una akili kuzidi waliyounda tecno kwanini usiipime wewe ubora wake uje na ushahidi mana naona unakata mauno kwa muziki usio uelewa .umesema aijapimwa basi ipime wewe na kwataarifa yako siyo rahisi mzungu kukwambia ubora wa tecno kwa sababu wanaiogopa ingekua siyo bora wangesha ipima sikunyingi na kuanika adharani
Acheni ujinga jamani kwani Samsung hawana simu zenye uwezo tofauti zote zina ram 4 GB au au zote storage 64 GB mfano zipo Samsung zina camera 4si kweli mkuu hapo hizo ni list ya specs hakuna comparison, ngoja nikuulize maswali
-wapi wameandika aina za ram? ni ddr3 au ddr4 ni single chanell au dual chanell?
-hizo storage ni zipi? ni emmc au ufs zina speed kiasi gani?
-sensor ya camera ina ukubwa gani? ina ois?, aperture je, kama haina ois ina hata eis? inarecord 4K? kama ndio fps ngapi?, ni wide angle? etc
ukiangalia tu hayo mambo matatu utaona hakuna comparison hapo.
Bei gani mkuuCamon Cx Camera ina 16 mega pixels, Processor ni 1.5 Ghz octa-core, SD up to 128.
Camon CxAir Camera ina 13 mega pixels, Processor ni 1.25 Ghz Quad-Core, SD up to 32.
Cx ina E-compass sensor Cair haina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo hujue tecno wana akili kuzidi hao unao wasifia hadi FBI na CIA wameshindwa kujua inatengenezwa wapimkuu tecno imetengenezwa wapi? mpaka leo humu jukwaani kuna mamia ya thread hakuna anae jua
-Tecno inapotengenezwa ni wapi
-makao yao makuu yalipo
-maabara zao wanapofanyia tafiti etc
na pia utuambie huyo tecno kagundua nini kwenye hizo simu zake zaidi ya kucopy vitu ambavyo vimeshagunduliwa.
Hao hata kupiga picha awajui wanajua kujionyesha tu mitaani kuwa wanamiliki iPhone na Samsunghahaaha nimependa watumiaji wa tecno wanavyo jiamini wametuma picha nyingi kuliko wenzao ili kuonyenya camera zao ziko fiti chakushangaza wanaoziponda wanaambiwa tuma picha wanatoa maelezo sijui wanaogopa nn tumeni picha ya simu zenu mnazo zikubali bana acheni maneno
na ndio maana watu wanaomba ushauri na kushauriwa, na simu sio samsung tu, zipo xiaomi, huawei, lg, Htc, oppo, oneplus etc mtu unashauriwa kwa kile kilicho bora na sio brand. siku tecno wakitengeneza simu bora watu pia watairecomend, ila wakiendelea kulipua hakuna mtu atakaerecomendAcheni ujinga jamani kwani Samsung hawana simu zenye uwezo tofauti zote zina ram 4 GB au au zote storage 64 GB mfano zipo Samsung zina camera 4
Sasa hapo atuelewani kijinga
ngoja nikupe utofauti wa kim na tecno.Ukiona hivyo hujue tecno wana akili kuzidi hao unao wasifia hadi FBI na CIA wameshindwa kujua inatengenezwa wapikweli tecno no noma naifananisha tecno na raisi wa North Korea kamanda Kim ijapokua anapondwa na wehu kila siku anazidi kutisha labda TECNO ANATENGENEZA MKOREA WA KIM tuzidi kumuunga mkono kwa kuzitumia kwa AKILI NA NGUVU NA HASIRA ZETU ZOTE .BIGUP KIM
Hata Kim mlimponda hivyo hivyo kuwa ni makombo ana anachojua mkawaita wakorea wa Kim kuwa ni empty mind sijui brain wash Leo mmekubali wenyewe kua jamaa ni noma naona mmeanza kumsifia IPO siku trump atamsifia tu pia IPO siku utaisifia tecno hata wewe ila sitaki uje uniite nabiingoja nikupe utofauti wa kim na tecno.
1. kim anatengeneza silaha zake mwenyewe na unique wakati tecno wao wanasubiria makombo, technology outdated wao hutumia kwenye simu zao ukitaka ushahidi nitatoa.
2. kim anawatisha wamarekani haogopi wazungu, tecno wanaogopa marekani na ulaya ushindani ni mkubwa wao wanakuja ku dump Africa
hivyo tecno ni vise versa ya kim.