Mkuu hivi unafahamu tecno inauzwa africa tu,tena sio nchi zote,sasa utanishawishi vipi kuwa simu ambayo hata FCC hawaitambui inaweza kuwa na kamera bora kuliko flagships za samsung na wengineo wanao compete worldwide.?
Mkuu hatq bodaboda,bajaji,vitz,x6,A5 zote zinakufikisha unapotaka kwenda,laki haimaanishi vyote ni sawa,jamaa kashindanisha ndo mana nikamjibu sio kwamba nimeponda brand pendwa(tecno),mana hata mimi nishaitumia....Hayo mambo ya FCC ni mbwembwe tuuu, wewe una Samsung yeye ana Tecno wote mnakutana hapa JF and other social networks na mambo yanaenda freeesh. Au wewe ukiwa na samsung post yako inakuwa kali sana kama zile za mkimbizaji Lissu??
We acha kusema uongo tecno zinatumiwa Africa tu???you can't be serious nenda Dubai ,uone tecno zilivyo kama ubwabwa nimetumia brand nying za simu ila simu za tecno za siku hizi camera wanaongoza
ili nipige picha ya mbali itabidi nitumie megapixel zote, na tunaongelea mb 15 kwenda mbele kwa picha moja, naweza maliza vifurushi vya watu humu.Mkuu nitaomba upige picha ya mbali zaidi ili nizoom niprove hilo... Maana nikiangalia hizi picha umepiga karibu sana tena ukiwa room!
Tecno kwa heavy users haifai,simu zina target watumiaji kwa hiyo kuwa na Tecno haimaanishi utafanya kila anachofanya mwenye samsung.....Hayo mambo ya FCC ni mbwembwe tuuu, wewe una Samsung yeye ana Tecno wote mnakutana hapa JF and other social networks na mambo yanaenda freeesh. Au wewe ukiwa na samsung post yako inakuwa kali sana kama zile za mkimbizaji Lissu??
Tecno kwa heavy users haifai,simu zina target watumiaji kwa hiyo kuwa na Tecno haimaanishi utafanya kila anachofanya mwenye samsung.
Security za Tecno ni mbovu sio kama Samsung.
Mkuu inamaana kitu kikishkuwa cha bei ghali basi ni bora?Tecno CX inauzwa 370000 hivi ila camera yake imezishinda simu za bei ya milioniukweli mchungu
ukubwa wa megapixels(MP)sio ubora wapichaTAFUTA TEKNO CANNON CX NEW BRAND INA CAMERA HD YA MBELE 16MP NA YANYUMA 32MP,INTERNAL MEMORYCARD 16GB NA EXTENAL 32GB HAPA GALAX,LG,IPHONE IKASOME
Hahahahhahaha duuuhWatumiaji wa tecno huwa wanazo tambwe kama watumiaji wa passo, vits na ist
Duuuuh heshima ngoma kama haijakuzwa hatareeee kwa afyaaa respect lumiaKaka
Kaka camera za tecno hazijapitishwa na OIS.
Tecno wanawalaghai wateja wao kwa kuwapa specs zisizo kamili mtu akiambiwa tu 16mp basi anachanganyikiwa.
Tecno Camera zao hawaweki lens walizotumia.
Tecno hawaweki image sensor size za camera zao.
Hawaweki size za aperture na baadhi ya details.
Kwa sababu wanajua sisi waafrika ni uelewa wetu wa vifaa vya electronic ni mdogo.
Huwezi linganisha 16mp ya tecno na 12mp ya iphone au samsung kwa sababu sensor za tecno ni ndogo hivyo kupelekea image quality kupotea pindi inapokuwa zoomed pia aperture zao ndogo hivyo test za kwenye dim light ina fail.
Jamani nawaasa watumiaji wa tecno msidanganyike na wingi wa pixels wa simu hizo uwezo wa camera zao ni mdogo.
Naomba anayesema tecno wana camera bora aje na source na kuniambia sensor size ya hio cx,lens iliyotumiwa na imethibitishwa na OIS pia na size ya aperture yake.
Akizipata naamini tecno wana camera bora kuliko simu zote duniani.
Mfano lumia 1020 ukienda gsmarena wameweka detail zao.
Camera 41mp.
Carl zeiss lens.
Sensor size wameweka.
Sasa tafuta tecno unakuta tu 16 mp mwisho.
Hiyo ni picha ya lumia 1020 ya 2013 Jaribu kuizoom uone quality halafu leta picha ya hio camon cx.
Naomba niisaveKaka
Kaka camera za tecno hazijapitishwa na OIS.
Tecno wanawalaghai wateja wao kwa kuwapa specs zisizo kamili mtu akiambiwa tu 16mp basi anachanganyikiwa.
Tecno Camera zao hawaweki lens walizotumia.
Tecno hawaweki image sensor size za camera zao.
Hawaweki size za aperture na baadhi ya details.
Kwa sababu wanajua sisi waafrika ni uelewa wetu wa vifaa vya electronic ni mdogo.
Huwezi linganisha 16mp ya tecno na 12mp ya iphone au samsung kwa sababu sensor za tecno ni ndogo hivyo kupelekea image quality kupotea pindi inapokuwa zoomed pia aperture zao ndogo hivyo test za kwenye dim light ina fail.
Jamani nawaasa watumiaji wa tecno msidanganyike na wingi wa pixels wa simu hizo uwezo wa camera zao ni mdogo.
Naomba anayesema tecno wana camera bora aje na source na kuniambia sensor size ya hio cx,lens iliyotumiwa na imethibitishwa na OIS pia na size ya aperture yake.
Akizipata naamini tecno wana camera bora kuliko simu zote duniani.
Mfano lumia 1020 ukienda gsmarena wameweka detail zao.
Camera 41mp.
Carl zeiss lens.
Sensor size wameweka.
Sasa tafuta tecno unakuta tu 16 mp mwisho.
Hiyo ni picha ya lumia 1020 ya 2013 Jaribu kuizoom uone quality halafu leta picha ya hio camon cx.
Kama aijapimwa you mean "NO RESEARCH NO .......TO...." malizia huo usemiwapi nimesema ina mionzi? nimekwambia hazijapimwa, ni kama vile unaolewa/unaoa bila kupima ukimwi.
Basi tuseme wewe ndiyo bora ili usishangae
Nyinyi ndiyo mamburura mnao jidai kwenda na wakati utasikia nataka laptop ya kisasa wakati akuna cha maana anachofanyia zaidi ya kuangalia porn (ngono) stupid mankkuna gsm cdma na tata docomo? loh hadi nimecheka, kwani tata docomo si mtandao tu,
hapo ni kama umesema kuna football, basketball na manchester united.
una idea mkuu ila upo mis informed sana hebu kwa kuanzia tuchukue simu ya samsung flagship na kuicompare na tecno.
display
samsung ana display zake zinaitwa amoled, si kweli kwamba ana under license wakati tecno ni mwendo wa tft na sometime ips lcd.
storage
storage za samsung flagship zinaitwa ufs zina speed sana compare na emmc zinazotumika kwenye tecno
soc
soc ya samsung ni exynos au sometime snapdragon series, exynos inatengenezwa na samsung wenyewe, wakati tecno wanatumia mediatek tena makombo ya kizamani, flagship ya tecno phantom 6 inatumia helio x10 soc ya toka 2014 sijui 2015
sensor za camera
wakati kina samsung wakitumia sensor za kisasa kina tecno hata hawatangazi sensor wanazotumia, na wakitangaza ni kichekesho? unajua sensor ya phantom 6? imetumika toka 2014 kwenye simu ya xiaomi jina limentoka,
kama kuna ambacho hujaelewa unataka maelezo zaidi hapo juu nitakifafanua zaidi ila kifupi hizi simu hazifanani hata kidogo, na tecno yupo mbali sana hata kumueka level moja na hizi brand kubwa.
na watu wa tecno wengi mnaongea sana ila mkiambiwa mueke ushahidi mnakimbia,
-simu zinakaa na chaji, eka proof mnasepa
-simu zina camera nzuri, eka proof mnasepa
logic ya kawaida tu tumia, maghorofa mazuri yapo ulaya, marekani china, barabara nzuri huko huko, huduma za afya huko huko kasoro simu tu? simu zetu za Tecno Africa ndo bab kubwa? wao wazungu hawajui lolote wanauziwa vitu vya bei ghali? kweli?
tecno hawana hata head office wala research centre wao ni kununua tu simu na kubandika majina.
Kwenye Ligi Ya Uingereza Kuna Matangazo Ya Tekno Sasa Sijui Napo Ni Afrika
Je we we Upo kwenye 20 bora hadi unataka hivyo nisawa MTU anavaa nguo ya mamilioni uku ananuka mwili nzima umejaa ukulutu .tecno simu yetu waafrica tuipendeKama tecno ipo kwenye Top 20 ya simu bora dunian ndio ubshe sio unakomaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Cha ajabu watu ambao hawana uelewa mzuri wa jinsi simu za kiganjani zinavyo fanya kazi ndiyo wanakuja humu na terms chungu mzima, mara flagship mara nini sijui!!! - Ukiwa hoji hivi hizo Samsung, Iphone nk zinatumia processor gani na chipsets zipi, ukiwahoji swali hilo nyeti si raisi wakakupa jibu sahihi zaidi ya kukandia simu za makampuni mengine - wao wanafikiri simu kuuzwa million na nusu au millioni mbili hiyo ndio simu balabala!!
Wanacho sahau/hawajui ni kwamba hardware zinazo tumiwa kuunda/assemble simu zote za viganajani zinatoka Taiwan, China na chache Korea Kusini - haya mambo ya baadhi ya JF members kuja humu na kuanza kubeza beza watu wanao tumia simu za TECNO sijui wanasumbuliwa na kitu gani - ulimbukeni labda?
Ukweli ni kwamba Utofauti hupo kwenye, kwanza:display/screen specifically resolution na actually watumiaji wengi wala hilo si issue kubwa kwao (kampuni ya Samsung na Apple wanaunda Display za kwao huko China under licence) - pili, ni kwenye ukubwa wa internal memory na FSB speed za memory zenyewe, tatu front side bus speed na nne ni type ya chipset inavyo weza kuzi-manipulate/tinker around kuiwezesha simu ifanye yale designer aliyo kusudia - bottom line is: kinacho matter ni jinsi/ujanja wa ma designer wa simu wanavyo zitumia hardware hizo kufanya wanacho kitaka wao na hii haijalishi kama simu ni Samsung, Iphone, TECNO nk wataalam wa mambo hayo wanajua simu zote zinafanya kazi using the same basic principles zilizo vumbuliwa na Waingereza kwa mara ya kwanza late 1980s ingawa miaka hiyo simu zilikuwa na saizi inayo fikia briefcase, simu zote za mikononi Duniani ni crone za design za Waingereza zinatofautiana kwenye teknolojia ya kusafirisha na kupokea mawasiliano kuna zinazo tumia GSM, CDMA na DoCoMo ya Japan - simu nyingine zinatofautiana kwenye Operating Systems na type za application programs.
Labda niwapatie mfano mdogo wa kuonyesha kwamba simu hizi utofauti wake ni mdogo sana na actually haupo kabisa: Ebu tafuta mtu aliye nunua simu ya million mbili mfano ya Samsung au Iphone lakini zina camera pixel zinazo lingana na simu ya TECNO ya robo ya bei Samsung/Iphone - pigeni picha halafu nenda kwenye printer kila mmoja atoe hardcopy ya photo linganisheni kama mtaona utofauti, ukweli wa mambo uwezi kuona tofauti/haupo. Narudia kuwakumbusheni kwamba simu karibu zote zinatumia hardware kutoka vendors wale wale hisipokuwa firmware chache ambazo ziko customized kwa kampuni husika kuzitofautisha unapo zi switch on.