Ubora na bei za tecno smartphones

Ubora na bei za tecno smartphones

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,635
Reaction score
1,951
Heshima zenu wakuu. Tafadhari naomba wajuzi wa teknolijia hii mnisaidie kujua ubora na bei ya smartphones zifuatazo. Najipanga kupata mojawapo baada ya kupata ushauri wenu maana sijawahi kumiliki tecno kabisa.

1. Tecno F7 (Phantom A)

2. Tecno F8 (Phantom A2)

3. Tecno M7

4. Tecno M5

5. Tecno P5

Natanguliza shukurani wakuu.
 
Tecno P3

Tecno mashine nyingine mkuu,hutajilaumu
 
usiwe hata na lepe la mashaka juu ya ubora na uimara ukitaka kununua bidhaa za tecno.

kwa wakati wako kanunue bidhaa za hawa jamaa hutajilaumu.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
hizo simu ndio kimbilio letu,hatuangalii majina sisi bali specifications,durability na capability,zina kila kitu aisee na ukienda google store ndio kabisaaaaa,cjawahi kujuta kununua hii simu aisee,ni p3 tu,hzo phantom ndio usipime,hata hzo zenye majina zinazidiwa kwa mbali sana
 
mi nitakupa P5

Bein ni kati ya 170000 hadi 200000, mfano mi naitumia nmeichukua hata wiki bado kwa 160000

specifications

Ram ni 512

CPU ni 1ghz

Camera ya mbele ni 5 megapixel

Camera ya nyuma ni 2 megapixel

Uwezo wa betri ni 1800 mAh

version ni jelly bean 4.2
 
Spare za techno zinapatikana wap haswa vioo vya kugusa? (sreen touch) nina wk ya pili natafuta kioo sipati. Niko dsm
 
Kama hela sio shida sana chukua tu phanto
m a+ ina-range kwenye 380,000 hadi 450,000. Kama hela ni shida ndio uangalie hizo nyingine.
 
Alieleta mada labda hakueleweka au mchangiaji atakua anauza bidhaa hizo lakin ukweli sim hizo za techno hata kama ni nzuri vip hazina spare. Nimekwenda mpaka kwenye maduka yao hawana spare. mtu kanitumia sim yake tokea iringa matikeo yake nimepata aibu.
 
Back
Top Bottom