Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Watu wengi wanaweza wakadhani kuwa ubitozi ni kitu kibaya, kumbe ubitozi ni usafi tu wa mwili, na mazingira na utanashati kwa ujumla.
Kuwa bitozi sio lazima uwe na hela nyingi sana wala sio lazima uwe na nguo nyingi sana.
Ni suala tu la kuamua kuwa msafi mazima.
Pichani ni picha yangu nilipokuwa na miaka mitano.
Kina dada naomba msianze kunitamani