Ubitozi ni kipaji cha kuzaliwa nacho

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Watu wengi wanaweza wakadhani kuwa ubitozi ni kitu kibaya, kumbe ubitozi ni usafi tu wa mwili, na mazingira na utanashati kwa ujumla.
Kuwa bitozi sio lazima uwe na hela nyingi sana wala sio lazima uwe na nguo nyingi sana.
Ni suala tu la kuamua kuwa msafi mazima.
Pichani ni picha yangu nilipokuwa na miaka mitano.
Kina dada naomba msianze kunitamani

923291_401759639938658_2132099817_n.jpg
 
Its very funny mma po ndisi lelo hapo ulikuwa kandete kwa babu yako?
watu wengi wanaweza wakadhani kuwa ubitozi ni kitu kibaya, kumbe ubitozi ni usafi tu wa mwili, na mazingira na utanashati kwa ujumla.

Back
Top Bottom