Ubitozi ni kipaji cha kuzaliwa nacho


Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,185
Likes
40,624
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,185 40,624 280
Watu wengi wanaweza wakadhani kuwa ubitozi ni kitu kibaya, kumbe ubitozi ni usafi tu wa mwili, na mazingira na utanashati kwa ujumla.
Kuwa bitozi sio lazima uwe na hela nyingi sana wala sio lazima uwe na nguo nyingi sana.
Ni suala tu la kuamua kuwa msafi mazima.
Pichani ni picha yangu nilipokuwa na miaka mitano.
Kina dada naomba msianze kunitamani

 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,850
Likes
3,632
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,850 3,632 280
Na hii ilikuwa lini?....
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,409
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,409 280
Its very funny mma po ndisi lelo hapo ulikuwa kandete kwa babu yako?
watu wengi wanaweza wakadhani kuwa ubitozi ni kitu kibaya, kumbe ubitozi ni usafi tu wa mwili, na mazingira na utanashati kwa ujumla.
Kuwa bitozi sio lazima uwe na hela nyingi sana wala sio lazima uwe na nguo nyingi sana.
Ni suala tu la kuamua kuwa msafi mazima.
Pichani ni picha yangu nilipokuwa na miaka mitano.
Kina dada naomba msianze kunitamani

 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,409
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,409 280
huyo ndo watu8 kama humfahamu hapo yuko ukingani kaenda kuwasalimia wakweze lakini mie simo sitaki kuleta majanga bure
Jamaa ana Tommy Hilfiger na miwani ya blue, kweli huyu mkinga
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,499
Likes
234
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,499 234 160
Its very funny mma po ndisi lelo hapo ulikuwa kandete kwa babu yako?
Afu ughwe ladyfurahia nu ndumegho Mentor mulile ing'ombe syangu afu mukunnketa itolo Asnam bhuno ikundamya
 
Last edited by a moderator:
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
24,380
Likes
7,685
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
24,380 7,685 280
Kumbe na wewe ulikuwA nyangema.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,185
Likes
40,624
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,185 40,624 280
Sasa Bujibuji unataka kuniambia huyo mtoto ndo bitozi au aliyemnunulia hivyo vito ndo anataka mwanae awe bitozi?
saudari, mzazi ananunua kinachomstahili mtoto. Ukitaka kujua kuwa ni bitozi, angalia ​anavyo maintai usafi
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,273,856
Members 490,528
Posts 30,493,607