Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Howo bhana , mpango mzimaMsikaribu kufananisha gari za wazungu na gari za wahindi au wachina!! Sio haki
Howo bhana , mpango mzimaMsikaribu kufananisha gari za wazungu na gari za wahindi au wachina!! Sio haki
La kizamani sanaGari ni Scania tu mkuu mengine kama hiyo iveco strails cjui luxury tu lakini hamna kitu, pata scania 113 - 360
Safi sana mkuu , Aina gani hiyo.Kitu Benz mwaka wa 7 sijawahi kuongeza maji.
Ulipata number yake mkuuHOWO ndio mpango mzima.
Kuna jamaa mmoja anamiliki kampuni ya LAKE GROUP yenye kampuni tanzu kama 5 hivi pale Mikocheni, opposite na chuo cha kodi.
Hizi HOWO anazo kama 200 hivi. Ngoja nitafute namba yake anipe ushuhuda