Ubishi kati ya Scania, Vs Benz Vs Daf Vs Iveco stralis Vs Howo

Ubishi kati ya Scania, Vs Benz Vs Daf Vs Iveco stralis Vs Howo

Me nipo Scania team huyo ni mnyama barabarani..
 
Wewe una howo no T498 CAB na ukibeba container 40 feet hata kona unaanza kuifikiria mbaya zaidi ukutane na mwinuko au mteremko mkali unawaza kushuka au utelekeze gari, na mimi nipo na SCANIA No T322 AAX iwe mabonde milima au miteremko mikali tena ndio kwanza naweka radio yangu chanel niipendayo bila stress wewe upo na no mya lakini sisi tulioanzia na namba A bado tunateleza barabarani
 
HOWO ndio mpango mzima.
Kuna jamaa mmoja anamiliki kampuni ya LAKE GROUP yenye kampuni tanzu kama 5 hivi pale Mikocheni, opposite na chuo cha kodi.
Hizi HOWO anazo kama 200 hivi. Ngoja nitafute namba yake anipe ushuhuda
Mkuu naomba tuwasiliane maana Nina mpango wa kuagiza Howo Moja mkuu
 
Scania iko Poa lakini Kuna Hii kitu DAF imetulia sana, very confortable kwa ndani utapenda
 
Shida ya scania ni rough load. wachovu mno gari inakwanma hata usipo tarajia.
 
HOWO ndio mpango mzima.
Kuna jamaa mmoja anamiliki kampuni ya LAKE GROUP yenye kampuni tanzu kama 5 hivi pale Mikocheni, opposite na chuo cha kodi.
Hizi HOWO anazo kama 200 hivi. Ngoja nitafute namba yake anipe ushuhuda

FB_IMG_15258925512680110.jpg
 
Wajanja kwenye modern investment hawaangalii gari itadumu miaka mingapi, wanaangalia how flexible wanaweza kuwa endapo watakuwa na gari fulani mkononi, say DAF. Dunia ya sasa inabadilika kila uchwao. So investor mwenye akili hawezi kufikiri kununua gari kwa kufikiri itamsaidia up to 20 years to come kwa sababu dunia inabadilika haraka sana. Kutokana na hayo, mimi nimefanya utafiti mdogo tu (observatory) nimegindua kwa Tanzania matajiri wengi wameachana na magari yanayodumu muda mrefu kama scania wamekimbilia magari ya kichina especially HOWO. Angalia akina Dangote, Lake oil na wasafirishaji wengine wa mafuta wanatumia sana hizi gari kwa ajili ya flexibility (They are cheap). Yani chochote kikibadilika it becomes easy to switch to it.
 
umemsahau kitu cha mswideni, volvo au internatonal
Hana jeuri ya kununua mpya huyu inaonyesha hela yake hajaamua kuwa na msimamo maana kwa maelezo yake hapo juu anawasikiliza madereva labda nimpe mwongozo kidogo..
Scania ni nzuri ila spare zake ni ghali sana ila uzuri ukiifunga umefunga..
Volvo. Yana nguvu na kwenye milima hamna mahali yanashindwa haya nayo spare haishikiki kwa bei hata upatikanaji wake kidogo usumbufu sana
Hoho. Hizi zina nguvu na zinachanganya sana kuwa na speed hasa sehemu za kupanda milima hua zinaacha sana wengine ila ni mabovu sana hayadumu kama scania
Benzi. Ni mazuri ila kwenye ufundi ndo pagumu maana ni yakk kwenye mfumo ya compyutarize maana likiharibika bila ya kitabu chake au mafundi wake special ndo umezidi kuliua na hata bei yake kidogo imechangamka na spare
Iveco. Haya ni mazuri magumu yana nguvu mfumo wa engine ni caterpilar tatizo kwenye spare sasa ni bei mno ila haya nayo ni kama scania ila kidoho iveco yanaheshma sana hayahabiki ovyo na ndo maana hata kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tunayatumia sana
 
HOWO ndio mpango mzima.
Kuna jamaa mmoja anamiliki kampuni ya LAKE GROUP yenye kampuni tanzu kama 5 hivi pale Mikocheni, opposite na chuo cha kodi.
Hizi HOWO anazo kama 200 hivi. Ngoja nitafute namba yake anipe ushuhuda
Amina mkuu . Kweli kabisa achana na haya mascania
 
hahhaha, umehamia huku sio, bado nakufuuuta pia🙂scania na howo ni sawa na IPhone na Tecno
if you are serious, Nunua Scania, haitakuangusha
Aisee mkuu uko huku . Haya bhana refurbished Howo ndio mpango mzima mkuu
 
Back
Top Bottom