Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 793
- 1,932
Tatizo mrisho unatembea peku ndio maana watu hukushangaa.
Madee huyuWhozuu acha fujo![]()
HaahahahahaLamba lolo bana
Tena Mark xWhozu si ana ndinga??
😀😀😀 itakua maana baba tupac ana wimbo mmojaAu ndo ule wa dudu LA Huyu?hahaa
Ilikuwa shida sana kutoka sehemu yoyote ile mpaka utafute sehemu zilipo bajaji kisha upande ndio uanze safari.
Ule umbali wa kuzitafuta bajaji unakuta watu wanakushangaa au ukifika stand unaanza kuomba bajaji akupunguzie bei wakati wao wanajua una hela kumbe huna lolote.
Uber & Taxify zimetuondolea sana aibu wasanii kipindi tukifulia.