Ubaya wa Kujifanya Mume Mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaya wa Kujifanya Mume Mwema

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by AljuniorTz, Mar 26, 2011.

 1. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mke wa Kelvin anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi mademu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na kurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia kwa kuwa anachoka na kazi, je ni mtu gani asiyependa starehe japo kidogo?
  Mke akamlazimisha mtoko (outing), Kelvin akabisha lakini kabla hajajenga vizuri hoja yake akashtukia taxi imefika na wakaelekea Gonga Club & Lodge.

  Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita..., “Mambo Kelvin”! Akajibu; “Powa tu…”

  “Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu”? mke akauliza
  Kelvin akajibu “yule mgambo mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time hapa club...”

  Wakachagua meza ya kukaa…, mara tu tayari mhudumu ameshaleta Castle lager.
  Mhudumu akamuuliza… “mama anakunywa nini...”
  Mhudumu baada ya kujibiwa akandoka na mke akamuuliza mume, “amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?”

  Wakati Kelvin anajikanyaga aanze vipi kujitetea kwa soo lile.., mhudumu wa vyumba akawa amefika na kuuliza “mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji nitawaletea huko huko”

  Kufikia hapo mke akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama chizi, akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.

  Wakati anapatana bei na dereva, Kelvin naye akaingia. Mke yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga kwikwi akamsikia dereve anasema. “Duh, eee bwana eeeehh!!! Kelvin huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!”

  Mke akazimika….zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


   
 2. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tusifiche tabia zetu kwa matarajio ya kulinda ndoa, uhalisia wa tabia ndio hulinda ndoa maana partner atakuwa anakujua nje ndani. Atachagua kusuka ama kunyoa....
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Enuff already!Kama ni mgeni embu jaribu kuangalia angalia yaliyopita kidogo maana hii ilishabandikwa zaidi ya mara tano!
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha,duh kumbe niwe natembelea MMU kwa sana
   
 5. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Old fashion
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Sikuwahi kuiona hii lakini duh,you made my day..cause it was so boring..
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Boresha mahudhurio...unapitwa na mengi!
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mama misukosuko ni mingi ila nitaufanyia kazi ushauri wako...
   
 9. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i ko powa
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Misukosuko hata baharini ipo bwana...na bado meli inaelea!
   
 11. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Nimeipenda
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Marudio hii ya saba leo.
   
 13. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!mi ya kumi na saba sasa!naja andaa githeri
   
 14. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wiselady,ni githeri sio mokimo?
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  githeri bana,wataka kuniandalia mokimo nini?
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Usinikimbie tu siku nikija Unga LTD................
   
 17. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  imerudiwa sana tuu
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Njoo tukaogelee mtoni!Hehehe!
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  du hiyo noma sana..:doh:
   
 20. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona hii mada ilishapostiwa mara kibao tu!
   
Loading...