Ubaya Ubwela kunawaka moto, kumeumana

Ubaya Ubwela kunawaka moto, kumeumana

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
1755453936758.jpg

WAMEMFANYIA MWENETU UBAYA UBWELA HUKO

SASA WANATAKA KUPELEKANA FIFA

Ishu nzima ilianza pale Captain aliposepa wakamsajili beki mmoja mzawa kutoka hapa hapa Timu za Ligi kuu Huyo beki ni mzuri sana lakini changamoto ni kwamba sio mzoefu wa mechi za kimataifa

sasa coach wao akasema anamtaka mwenetu na sisi Bila Hiyana tukawatajia Bei wakaanza kubembeleza mara watatulipa msimu ujao oooh mara Tuwape kwa mkopo kiufupi maneno yakawa mengi ila Mtee hawatoi Nadhani walitaka kurudia kama ya Jonathan Sowah

sasa baada ya Kuona kununua inakua Ghali wale wahuni wakaona wapite njia ya Uwani wakasema Hawamtaki Tena mwenetu hivyo Dili Limekufa Rasmi tukahamishia Majeshi hapa Ardhi ya Wameru kuweka Kambi

kumbe nyuma ya pazia wale Mawinga wanaendeleza mawasiliano na Mwenetu wakamuambia Avunje mkataba na sisi alafu wao ile pesa waliyokuwa Watupatie sisi kwa kumuuza watampa 75% Alafu mawinga watasepa na hiyo % Nyingine

Ghafla mwana akasema amekosa Furaha na anataka kurudi kwao Tukamuuliza Mbona ghafla sana akajibu hapana mimi nimechoka tu kuishi Tanzania sisi tukaona isiwe Tabu tumuachie Bure yeye akasema hapana anataka kuvunja mkataba wake aondoke kwa amani

tukakubaliana tukamuambia avunje mkataba akalipa nusu tukaachana kuja kushangaa siku 2 mbele tunamuona misri tena na Jersey ya mwafulani sasa wamemfanyia majaribio kocha kasema hapana anamtaka msauzi hivyo hana muda naye

mwenetu na mawinga wake sasa hivi Hazipandi mawinga wanataka kwenda sumbawanga na mwenetu sio haba Nigeria ni mwenyeji Acha Tusubiri tuone itakavyokuwa

View: https://www.facebook.com/100082243600932/posts/pfbid0RW7RgnuD8v3mhHAEiQFbniWqVgCmjgVFWaXgc8PazwQDy5zKFMYD8s2XQXEK4WUvl/?app=fbl
 
Huu nao ni aina nyingine ya U.senge, hadi habari za Simba na Yanga Kuna haja ya kuandika kwa codes!?, na wewe unaogopa wasiojulikana!?,ukitaja majina yao na timu zao shida nini!?,mara ubaya ubwela, mara mwanetu.. aah Kuna muda mnaboa..
 
Mnaleta taarifa kigashogasho...
View attachment 3444597

Simba Kuna ubabaishaji wa. Kiwango chajuu na swala hili litaendelea kuwa gharimu mpaka Deni la MO litafikia sehemu halito lipika.

Kwanza uwa wanaipekeka timu Yao mbali kwenye pre season alafu wakiwa uko mbali Wana Anza mipango ya kupeleka wachezaji kwenye majaribio.

Unakuta baadhi ya wachezaji ambao wanajua wata waacha Wana enda nao na wale wanao sajiliwa wanapekekwa uko, Maana yake ndani ya muda mfupi gharama za Kambi zinaongezeka na budget ya izo movement za wachezaji zinapanda na kuwa kubwa sana.

Ilo jambo halifanyiki kwa bahati Mbaya, Kuna mtu/ watu wanafaidika na michezo iyo.

Karibu msimu wa tatu mambo yanaendelea kwa namna hii, athari zake ni Kambi kukosa utulivu kwakua wachezaji Awana uhakika na kibarua Chao na baadhi wameshuhudia yakitokea kwa wenzao.

Mchezaji Leo yupo Pre season Ismailia kesho anajikuta Yuko Namungo Lindi, ni mambo ya hovyo katika soka.
 
Huu nao ni aina nyingine ya U.senge, hadi habari za Simba na Yanga Kuna haja ya kuandika kwa codes!?, na wewe unaogopa wasiojulikana!?,ukitaja majina yao na timu zao shida nini!?,mara ubaya ubwela, mara mwanetu.. aah Kuna muda mnaboa..
Nikajua ni mimi tu nimemuona jamaa ni rofa, kumbe hata wewe umeliona hili.

Kaandika utumbo na umbea umbea mwingi kama mwanamke wa kizaramo/kimakonde.
 
Simba Kuna ubabaishaji wa. Kiwango chajuu na swala hili litaendelea kuwa gharimu mpaka Deni la MO litafikia sehemu halito lipika.

Kwanza uwa wanaipekeka timu Yao mbali kwenye pre season alafu wakiwa uko mbali Wana Anza mipango ya kupeleka wachezaji kwenye majaribio.

Unakuta baadhi ya wachezaji ambao wanajua wata waacha Wana enda nao na wale wanao sajiliwa wanapekekwa uko, Maana yake ndani ya muda mfupi gharama za Kambi zinaongezeka na budget ya izo movement za wachezaji zinapanda na kuwa kubwa sana.

Ilo jambo halifanyiki kwa bahati Mbaya, Kuna mtu/ watu wanafaidika na michezo iyo.

Karibu msimu wa tatu mambo yanaendelea kwa namna hii, athari zake ni Kambi kukosa utulivu kwakua wachezaji Awana uhakika na kibarua Chao na baadhi wameshuhudia yakitokea kwa wenzao.

Mchezaji Leo yupo Pre season Ismailia kesho anajikuta Yuko Namungo Lindi, ni mambo ya hovyo katika soka.
Achaga kuandika mkeka mrefu kwny comment...
Kwanza hazina hata maana..
Ma mkwe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom