Nakubaliana na wewe yaani wanakuja Dallas kwenye mkutano Gala bila hata kujulisha uongozi wa jumuia!. Yaani wawekezaji wataongea na Wanzania kujua nchi yetu huwezi kufanya vitu bila kuhusisha jumuia ya watanzania. Lakini kitendo cha balozi kuja mji bila hata kusalimia wananchi ni dharau ambayo sio nzuri kwa watanzania.balozi zetu zote ni vituko, tofauti kabisa na balozi za wenzetu. unajua kwamfano mmarekani akija hapa tz akaamua kutembelea ubalozi wake, treatment anayopewa ni nzur...
Kwani kwasasa balozi wetu ninan uko?Nakubaliana na wewe yaani wanakuja Dallas kwenye mkutano Gala bila hata kujulisha uongozi wa jumuia!. Yaani wawekezaji wataongea na Wanzania kujua nchi yetu huwezi kufanya vitu bila kuhusisha jumuia ya watanzania. Lakini kitendo cha balozi kuja mji bila hata kusalimia wananchi ni dharau ambayo sio nzuri kwa watanzania.
Kwani kwasasa balozi wetu ninan uko?
Hivyo ni vyeo vya kupena pole kila baada ya uchaguzi kwa kazi ngumuTunasikitika ubalozi wetu wa Tanzania US unejaa wafanyakazi wasiojua wanachofanya. Ili watu waelewe hili nimewapa barua mbili hapa. Barua yenye kumbukumbu namba moja imetumwa kwenye miji miwili tofauti. Ukipiga simu wanasema Dallas eti hawaendi...
Ulikosea ungeenda na kadi ya Chama.balozi zetu zote ni vituko, tofauti kabisa na balozi za wenzetu. unajua kwamfano mmarekani akija hapa tz akaamua kutembelea ubalozi wake, treatment anayopewa ni nzuri ila mbongo ukiwa nje ukatembelea ubalozi wetu wowote ule, cha kwanza ...
Mkuu kuna mmoja wa Chadema kule SwedenUbalozi umejaa makada wa CCM wenye akili fupi fupi, hapo unategemea nini?
Mmemripoti huyo balozi kwa Mulamula au mama kabisa ili amzingue??Nakubaliana na wewe yaani wanakuja Dallas kwenye mkutano Gala bila hata kujulisha uongozi wa jumuia!. Yaani wawekezaji wataongea na Wanzania kujua nchi yetu huwezi kufanya vitu bila kuhusisha jumuia ya watanzania. Lakini kitendo cha balozi kuja mji bila hata kusalimia wananchi ni dharau ambayo sio nzuri kwa watanzania.
Duuuh kumbe?? Hii sasa ni hatari sana maana haina msaada...Siyo USA tu. Ni dunia nzima. Sisi ambao tumeishi nchi mbalimbali ughaibuni tunalijua hilo. Wala huwa sina mpango nao. Nikiwa nje wala huwa sitaki kufahamiana nao. hawan msaada wowote. Wapo kwa ajili ya kujihudumia wenyewe na familia zao tu.