Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO
DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA
Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha wito wa haki, maridhiano, na haki za binadamu. Tunatumaini kuwa Tanzania itautumia wakati huu kutafuta haki kupitia uchunguzi wa haraka na wa waziDHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA
Pia soma