Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,317
- 11,181
Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq.
Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi huo.
Mbali na makombora hayo 7,mengine matano yalirushwa kwenye kambi za jeshi la Marekani vilivyopo Syria na maeneo mengine ya Iraq.
Kwa mujibu wa msemaji wa wa kijeshi wa Marekani ni kuwa kasi ya mashambulio kama hayo imeongezeka sana katika siku za karibu na ni kupita kiwango katika kumbukumbu za kuwepo kwa vikosi vya Marekani katika nchi hizo.