Ubalozi wa India wazungumza na Mo Dewji

Ubalozi wa India wazungumza na Mo Dewji

Hahaha hivi ubalozi wa Tanzania kule India unaweza kufanya kama hawa wahindi hapa kwetu?!

Au kwasababu wahusika wote ni wahindi?!
 
Jamaa pale Simba Sports kachukua asilimia 51% ya hisa kwa kudai katoa 20 billion toka mfukoni mwake. Kila akiombwa ushahidi wa kutoa pesa hiyo anang'aa macho. Huwezi kutoa bilioni 20 usiwe na documents zozote za kuonyesha kutoa pesa hiyo na huyo aliyepokea kuonyesha uthibitisho wa kupokea pesa hiyo. Yuko Simba ili kuitumia kufanya utapeli wake.
Ni wapi Mo Dewji alisema anamiliki 51% na akadai alishaweka tayari billion 20?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa pale Simba Sports kachukua asilimia 51 ya hisa kwa kudai katoa 20 billion toka mfukoni mwake. Kila akiombwa ushahidi wa kutoa pesa hiyo anang'aa macho. Huwezi kutoa bilioni 20 usiwe na documents zozote za kuonyesha kutoa pesa hiyo na huyo aliyepokea kuonyesha uthibitisho wa kupokea pesa hiyo. Yuko Simba ili kuitumia kufanya utapeli wake.
Duh aisee hata wewe ni mkuu ni hayawani namna hii.??

Mo ana asilimia 49 tu Simba(ambazo kimsingi bado hajazipata), na aslimia 51 ni za wanachama..

Pia bado hajatoa hizo bil20 kwasababu haiwezekani kutoa bado Simba hajakamilisha mchakato wa kuhamia kwenye mfumo wa kampuni....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa mimi na wewe nani ni HAYAWANI? Unampaje mtu mali yako kabla hajakulipa? Eti mchakato wa kuhamia kwenye mfumo wa kampuni haujakamilika!!! Huo mchakato unachukua muda gani kukamilika? Sasa kama haujakamilika inakuwaje anafanya maamuzi pekee yake kama vile ni mmiliki!? 😳
Duh aisee hata wewe ni mkuu ni hayawani namna hii.??

Mo ana asilimia 49 tu Simba(ambazo kimsingi bado hajazipata), na aslimia 51 ni za wanachama..

Pia bado hajatoa hizo bil20 kwasababu haiwezekani kutoa bado Simba hajakamilisha mchakato wa kuhamia kwenye mfumo wa kampuni....
 
Jamaa pale Simba Sports kachukua asilimia 51 ya hisa kwa kudai katoa 20 billion toka mfukoni mwake. Kila akiombwa ushahidi wa kutoa pesa hiyo anang'aa macho. Huwezi kutoa bilioni 20 usiwe na documents zozote za kuonyesha kutoa pesa hiyo na huyo aliyepokea kuonyesha uthibitisho wa kupokea pesa hiyo. Yuko Simba ili kuitumia kufanya utapeli wake.
Amechukua hisa 49 kwa dhaman ya hizo 20b hizo hisa zingine ni zenu na mnatakiwa kununua nyie mashabiki

Je ww na familia yako Mpaka Sasa umenunua hisa ngapi
 
Thamani ya 20 billions kazilipa lini hizo billions? Unaona mahali kuna tapeli limeshajimilikisha timu KITAPELI halafu uingize pua yako? Labda kama una pesa za mchezo.
Amechukua hisa 49 kwa dhaman ya hizo 20b hizo hisa zingine ni zenu na mnatakiwa kununua nyie mashabiki

Je ww na familia yako Mpaka Sasa umenunua hisa ngapi
 
Mo dewji amekuwa mjanja Janja sana. Si ajabu ni mhujumu uchumi.
Bakhresa ali-offer dau kubwa kuliko Mo kuichukua Simba; ilikuwaje klabu akapewa huyu janjajanja? Nakumbuka Zitto alipinga sana huyu muhuni kupewa klabu ya Simba lakini watu wakaweka siasa. Nani aliyefanya valuation kufikia kiasi alichotoa Mo kwamba ni fair?

Pesa atakayopata atakapokuja kuiuza Simba ndiyo watu watajua waliliwa.
 
Jamaa pale Simba Sports kachukua asilimia 51 ya hisa kwa kudai katoa 20 billion toka mfukoni mwake. Kila akiombwa ushahidi wa kutoa pesa hiyo anang'aa macho. Huwezi kutoa bilioni 20 usiwe na documents zozote za kuonyesha kutoa pesa hiyo na huyo aliyepokea kuonyesha uthibitisho wa kupokea pesa hiyo. Yuko Simba ili kuitumia kufanya utapeli wake.
Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%. Hii janjajanja ya kuzitumia hizi klabu kubwa kuanzia kwa kina Gulamali ni aina ya utapeli wakitumia umma wa wanachama na mashabiki wa vilabu hivi kama ngao.
 
Back
Top Bottom