Ubalozi umemwambia watoto sio wake

Ubalozi umemwambia watoto sio wake

Ni nchi gani hiyo ya Ulaya ambayo ukiomba makaratasi ya watoto wanawapima DNA?

Halafu, mtoto kuwa wa kwako legally lazima awe biological?

Na ni kwa nini aitwe kwenye ubalozi badala ya ofisi za uhamiaji?

Na kama mke alikuwa amepata visa kasoro watoto, hao watoto walipimwa DNA wakiwa wapi, Mwananyamala Hospital?

Na ni nchi gani ambayo daktari anatoa matokeo ya uchunguzi kwa ubalozi na wewe mwenyewe hutaarifiwi na daktari?

Taja hiyo nchi mzee!

Nimejiuliza same thing. Labda zipo ila mmmh...
 
Huyo mwanaume akafanye sperm analysis. ..... atakuwa na tatizo ndio maana watoto 4 wote sio wake
 
Mtu sijui unawezaje kuishi na dhambi kubwa kiasi hiki..Na unakuta mtu yupo happy tu..Hana hata wasiwasi wala hajishtukii
 
Sijui hua wanafikiria nini na wengine bila hata AIBU anasema nimezaa na jamaa mwengine bila kujua ipo siku ita yatafichuka na hapo inakua hata shilingi yakuanzia maisha huna na umetupiwa watoto uwezo wakulea huna,na maisha uliozowesha watoto ni ya ajabu ajabu hata kwa mtu huwezi kumuachia...
 
ndo maana mwanamke asomeki hata ukitaka kumueleza unaweza kumaliza miaka ujamaliza maelezo yake
 
HATARI HII JAMANI,HATA HUMU SI UNAONAGA MKE ANAOMBA MSAADA KUWA ANAMIMBA YA MCHEPUKO SIO MUME WAKE AFANYEJE....ANAAMUA AKAUSHE...TEA MCHEPUKO AKIWA HAJUI ANGALAU UTAKUTA MCHEPUKO KASHTUKA ANALETA NOMA NAE
 
Muanzisha uzi nina ukakasi kidogo juu ya uwezekano wa kupishana kati ya umri wa mtoto wa 3(miaka 10) na mtoto wa 4(miaka 9), inamana wakati 3rd baada ya arobaini mama alipewa tena ujauzito?

Wajuzi liangalieni hilo
 
Jambo la kujiuliza Mume unakuwa wapi hadi watoto wanne wote upigwe changa?
Labda huwenda pia mke alifanya hivyo kulinda ndoa baada ya kuona mume hana uwezo wa kumpatia ujauzito.
 
Baba naniii ashukuru sana sijamchomekea... ila nyie vile tu hamna uwezo wa. kubeba mimba case zenu zingekua kubwa zaidi... pole kwa jamaa

Hahahaaaa yan hawa viumbe wangekua wanabeba mimba aiseee wangetuchomekea watoto mpka basi. Ni vile tu baiolojia haiwaruhusu kubeba mimba ila vingnevyo tungeisoma namba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmmm but nackiaga et most of the time hizo DNA results huwa znakuja negative hata kama mtt ni kazaliwa na huyo mzazi.....
Inaeza kua factor ya weather etc...(cna uhakika)...

I can assure you hivi Vitu havinaga uongo, hata watoa majibu huwa inawauma sana wakati wanayatoa.........
 
Saa nyingine ndo sababu sishangai mtu anayemfanyia ukatili mke wke mi sishangaagi
 
Back
Top Bottom