Ubalozi umemwambia watoto sio wake

Ubalozi umemwambia watoto sio wake

Wakati unapiga unakua hujui kuna kuangushiwa mzigo? Ha ha ha
Teh teh..Unajua baada ya genye kuisha..On a serious note huyu dada alichofanya ni nouma..Atleast mtu umuangushie mzigo mara moja..Lakini mara nne zote??..Huu ni uuaji wa kisaikolojia
 
Haiwezekani watoto wote wasiwe wake...
Si bure ...
Isijekuwa mkewe alikuwa anatafuta watoto nje ili kumsitiri mumewe...
Maana kukiwa hakuna watoto analaumiwa mwanamke kuwa hazai...
Wengine wanaamua kujisovia tatizo kwa kutafuta donor wa mbegu...
wanatafuta sperm donor toka JF tena wakiweka vigezo hatari mara mweupe kumbe tu rangi iendane endane na ya mmewe ili asije situkiwa mapema.
 
Mmmmm but nackiaga et most of the time hizo DNA results huwa znakuja negative hata kama mtt ni kazaliwa na huyo mzazi.....
Inaeza kua factor ya weather etc...(cna uhakika)...

Nani amekudanyanga hivyo mkuu?
 
Mimi nilipokuwa mdogo ami yangu (kaka yake baba yangu) alinita na kuniangalia kidole cha Gumba. akasema wewe kweli mtoto wa ndugu yangu akasema kabila yetu wote lazima kidole gumba kiwe kama hivi. akanionesha chake kipo sawa na changu na kaka zangu na baba yetu sote vimefanana na kila akija mtu wa kabila yetu ni kweli vimefanana. hii ni alama kubwa mpaka sasa ndio natumia.

Wazee wengine wanaangalia sehemu kama macho, viganja, pua, sauti, kicheko na hata miondoko.

Familia nyingi mababu na mabibi wa pande zote kupewa nafasi ya kumuona mtoto kabla ya watu wengine ili kubaini hitilafu yoyote.

Hivyo kama baba au mama wanatembea kwa mdundo basi kuna kinasaba fuklani kitakwenda kwa mtoto.

Uchunguzi huu hufanywa kimyakimya mtoto anapofikia umri wa miaka miwili, maana pale ndipo anatokeza kila aina ya viashiria kuhusu baba na mama na babu na bibi pengine hata mjomba na shangazi.

Kila boski likiwekwa alama ya vema basi huyo mtoto ndie yeye.
 
Bado hatujatajiwa hiyo nchi ya Ulaya ambayo ukiomba visa za kuingiza watoto wanakuambia uwatumie kwanza DNA test results kutoka maabara za kibongo!

Stori ina utata.

Unabisha buree ndg yangu nchi zote za ulaya zinataka ufanye hivyo kama una watt bongo au nje ya nchi yao na unataka wakujoin huko., Ndio wana hospital zao wanazoziamini kwa DNA test na wanakuagiza uende huko na wewe ndo utagharamia..Kipindi niko huko kuna friend yangu mnyarwanda alitaka kuileta familia yake aliyapata kama haya mpaka leo hajathubutu kuoa au kukaa na mwanamke.. Yasemwayo yapo!
 
Unabisha buree ndg yangu nchi zote za ulaya zinataka ufanye hivyo kama una watt bongo au nje ya nchi yao na unataka wakujoin huko., Ndio wana hospital zao wanazoziamini kwa DNA test na wanakuagiza uende huko na wewe ndo utagharamia..Kipindi niko huko kuna friend yangu mnyarwanda alitaka kuileta familia yake aliyapata kama haya mpaka leo hajathubutu kuoa au kukaa na mwanamke.. Yasemwayo yapo!
Acha uongo,eti nchi za ulaya ?Taja nchi.waaminisheni hao hao
 
Mhuuuu ni nchi gani hiyo inayofanyia DNA watoto wakitaka kujoin mzazi wao?

Uingereza! Na ukifika nao hapo heathrow wakiwa na surname tofauti na wewe utaisoma number hawaingii mpaka uwape majibu ni aje yawe hivyo.
 
Acha uongo,eti nchi za ulaya ?Taja nchi.waaminisheni hao hao

Nchi mojawapo ni USA

Na hii ipo kwenye link hii: DNA Relationship Testing Procedures

DNA Relationship Testing Procedures

Overview - DNA Testing, Used with Some Immigrant Visa Applications

Genetic testing is a useful tool for verifying a stated biological relationship when no other form of credible evidence is available in conjunction with an immigrant visa (IV) application. Commonly tested relationships that utilize DNA testing include paternity, maternity, full-siblingship, or half-siblingship. More distant relationships cannot be proven reliably using DNA testing. DNA technology is the only non-documentary method accepted for proof of a biological relationship. However, due to the expense, complexity, and logistical delays inherent in parentage testing, genetic testing should be used only if no other credible proof (documentation, photos, etc.) of the relationship exists.

When genetic testing appears warranted, a Consular Officer may suggest visa applicants undergo DNA testing to establish the validity of the relationship(s). Please note that such testing is entirely voluntary; and that all costs of testing and related expenses must be borne by the petitioner and/or beneficiary and paid to the laboratory in advance. In addition, submitting to testing does not guarantee the subsequent issuance of a visa.

Below, you will find the process to follow if a Consular Officer has suggested DNA testing to establish the claimed biological relationship.

What Type of DNA Sample Method is Used?
Deoxyribonucleic Acid (DNA) testing is the most accurate and widely available technology to test a biological relationship. The preferred specimen collection technique for DNA testing is by buccal (cheek or mouth cavity) swab. When buccal swabs are taken, cells are collected from the inside cheek or mouth using a long cotton swab. While there are different types of DNA tests, buccal cheek swabs are used rather than blood samples because they are easier to collect, non-invasive, painless, and easier to ship.

Accuracy of DNA Testing
DNA testing reliability has advanced to the industry-accepted standard of 99.5 percent. The accuracy of a DNA test conducted with a cheek swab is equivalent to a test conducted using a blood test. Consular officers may only accept test results reporting a 99.5 percent or greater degree of certainty with respect to paternity/maternity as sufficient to support a biological relationship between a parent and child in visa cases.
 
Uingereza! Na ukifika nao hapo heathrow wakiwa na surname tofauti na wewe utaisoma number hawaingii mpaka uwape majibu ni aje yawe hivyo.

Hii ni DNA test ya UK

DNA Testing for Immigration

Immigration testing is used in cases where alleged relatives need to prove a biological relationship. Immigration testing is often used to support immigration documentation and facilitate the procedures. In some cases an immigration test may be requested by the Home Office if birth, marriage certificates or other documents are not available or do not meet the requirements of the immigration authorities in the UK.

About our Immigration Testing Services
Our immigration DNA test costs £389 and includes testing of the alleged father, child and mother.

In cases where DNA test results are required to support a visa application, GTL are able to carry out a paternity or maternity test to prove the biological relationship in question. We are also able to perform DNA tests to prove other relationships, such as DNA testing between brothers and sisters (sibling tests) or testing between aunt or uncles to prove the relationship with a niece or nephew.

Our Customer Service Advisors are available to guide you through the DNA testing process and to ensure the most suitable family members are tested to ensure accuracy and conclusive verification of the relationship

Immigration DNA Testing Kit
To qualify as an accredited legal DNA test, the DNA sample collection process must be witnessed by a health professional or neutral third party with no interest in the outcome of the test. The identity of the applicants submitting DNA samples must also be verified by photographic proof of identity and 2 passport-sized photographs of each applicant must accompany the samples. In cases where one or more applicants to be tested reside in other countries, we will make arrangements with the relevant British High Commission, Embassy or approved sample collection facility in that country for samples to be collected.

NOTE: The health professional may charge a sampling fee and this cost is not included within our fees.

Our Immigration DNA Test Includes:


  • DNA testing of the alleged father, child and mother (mother is optional).
  • Our Premium Quality Paternity Test using 21 genetic markers.
  • 9% accuracy for inclusions (positive results) and 100% accuracy for exclusions (negative results).
  • Confidential notarised DNA test results emailed in 5 working days.
  • Free Special Delivery postage of the sampling kit to your chosen health professional in the UK and Federal Express delivery to the sampler in other countries.
Please note: For immigration DNA testing, GTL arrange appointments for DNA sample collection with authorised clinics, British High Commissions and Embassy locations worldwide.

The UK Border Agency may require special information regarding your case. Sampling fees and international courier charges may also be applicable.
 
Kwanza DNA mwenyewe ndo uombe,incase unataka mambo yaende faster,but hakuna ubalozi utakaokuimpose ufanye DNA.
 
Richard umeshaambiwa testing nivoluntary,hulazimishwi,eboh

Wapi wamesema ni voluntary, tupitie mstari kwa mstari?

Kwani nani anaamuru test ifanywe ofisa uhamiaji au mwombaji hiyo viza?

Umesoma vizuri maandiko?

Hiyo ya UK ni moja ya kampuni binafsi zinazotumiwa pia na watu wa Uhamiaji wa UK- wakitaka kufanya uchunguzi juu ya maombi ya mhusika.

Sasa mkuu mbona unaanza kubisha tena?

Hufahamu kwamba kuna watu wanadanganya au walikuwa wakidanganya kuhusu watoto wa chini ya 18 kwa kusema ni watoto wao halafu wakiwafikisha Ulaya "kwa wala mayai" wanawafanyia vitendo vya ajabu?
 
Unabisha buree ndg yangu nchi zote za ulaya zinataka ufanye hivyo kama una watt bongo au nje ya nchi yao na unataka wakujoin huko.,
Nimeuliza nchi, nimebisha wapi? Kuna mwenzako amesaidia zaidi, ametaja nchi ya UK.

Maelezo ya UK yanasema: In some cases an immigration test may be requested by the Home Office if birth, marriage certificates or other documents are not available or do not meet the requirements of the immigration authorities in the UK.

Kwa hiyo hii DNA requirement ni kwa ajili ya jitu linaenda pale halina hata cheti cha kuzaliwa cha mtoto au ana cheti haki meet standards, kimeandikwa kwa Kisomalia kwa mfano. Of course watakuambia ujaribu ku shore up your supporting documents.

Birth Certificate ya Tanzania, kwa mfano, template yake ililetwa na Waingereza wenyewe zamani za kale, itakuwa vigumu kusema hawaielewi.
 
Back
Top Bottom