Ubalozi umemwambia watoto sio wake

Ubalozi umemwambia watoto sio wake

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] , ila kuna muda wanatiaga huruma jamani
Aaiiiii
images (6).jpg
 
Nyani Ngabu wanyamwezi wanaihitaji DNA test Ya mtoto ukiendarekebisha makaratasi?
 
Watu wengi wasichofahamu ni kua DNA huja na majibu i.e 60%, 40%,80%ndo hua na vinasaba hivyo sasa swali la kujiuliza kama ni 80% mikono, macho na vidole ni vya nani sasa....
 
hapa ndio huwa inafikia mtu kujuta kuowa ,nashkuru sana mitoto yangu huhitaji DNA ila kuna kimoja bado kama sina uhakika,lakini haina shaka mtoto mtoto tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nilipokuwa mdogo ami yangu (kaka yake baba yangu) alinita na kuniangalia kidole cha Gumba. akasema wewe kweli mtoto wa ndugu yangu akasema kabila yetu wote lazima kidole gumba kiwe kama hivi. akanionesha chake kipo sawa na changu na kaka zangu na baba yetu sote vimefanana na kila akija mtu wa kabila yetu ni kweli vimefanana. hii ni alama kubwa mpaka sasa ndio natumia.
Unaama ,kabila= ukoo
 
Sijui hua wanafikiria nini na wengine bila hata AIBU anasema nimezaa na jamaa mwengine bila kujua ipo siku ita yatafichuka na hapo inakua hata shilingi yakuanzia maisha huna na umetupiwa watoto uwezo wakulea huna,na maisha uliozowesha watoto ni ya ajabu ajabu hata kwa mtu huwezi kumuachia...
Umefikilia kwa kina kweli kweli. Asante
 
Bado hatujatajiwa hiyo nchi ya Ulaya ambayo ukiomba visa za kuingiza watoto wanakuambia uwatumie kwanza DNA test results kutoka maabara za kibongo!

Stori ina utata.
 
Teh teh..Kukataa mimba lakini saa nyingine kunakuwa na sababu..Mana nyie sometimes uwa mnatafuta mtu wa kumuangushia mzigo hata kama haumuhusu..
Wakati unapiga unakua hujui kuna kuangushiwa mzigo? Ha ha ha
 
Mmmmm but nackiaga et most of the time hizo DNA results huwa znakuja negative hata kama mtt ni kazaliwa na huyo mzazi.....
Inaeza kua factor ya weather etc...(cna uhakika)...
Si kweli, na ulivyosema "most of the time" ndo umekosea kabisa. Hizi DNA tests hua haziko wrong, haiwezekani human error ikaleta matokeo tofauti kwa watoto wote wanne.
 
Back
Top Bottom