Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

Ebu acha kujitoa ufahamu. Kabla ya kufanya mapenzi na mwanamke anatakiwa aridhie tendo hilo hata kama umemuoa. Kuna baadhi ya wanaume wanawalazimisha hata kama siku hiyo mke wake hajisikii, matokeo yake ni kumsababishia maumivu. Acha ushabiki

Wanaume ndiyo wanatakiwa wawaandae wenzi wao. Mwanamke hata kama hataki. ...akishikwa akibembelezwa kwa mabusu lazima alowe tu
 
Ni kweli wanakoma hisia na wengi kama hawajajiandaa kisaikolojia huwa wanahasira sana... kwa sababu wakat mwanamke anspata monopose wanaume huwa kama wanabalehe wanakuwa na mihemko mikubwa ya kufanya hapo sasa mwanamke anapobakwa... ila kama akiruhusu mwanaume awe na mchepuko... ndiyo pale wababa wa fifty na mabinti .. nisitoe mengi zaidi.ngumi zikaanza

Hahahaaaaa, asante sana Miss chagga kwa elimu hiyo. Kumbe ndiyo maana nasikiaga kuna mila huwa mama akifikia menopose, anamruhusu mzee kuwa na kidumu/kibinti nje! kumbe sababu ndo hiyo. Asante sana
 
Namkumbuka Mwalimu wangu wa Geography Mr Kingwalla wa BWHS.....alikuwa ananambia hawa wanaharakati wanapelekeshwa na matumbo yao tuu...
Utakuta janaume shababi limekaza mishipa ya shingo, mate yanaruka kila kona " ooh haki za wanawake" Kwani hao wanawake walikaa kikao wakawatuma?

Tatizo tumboo, maslahi....ukiwafuatisha ndo unaharibu ndoa.....

Ni kweli hata mimi huwa nashangaa eti mwanaume utakuta anatumia nguvu nyingi kupiga kelele eti haki za wanawake na kukemea eti mfumo dume. Sijui nani huwatuma! au ni wale mabwabwa?? maana kizazi cha sasa mabwabwa yanaongezeka kwa kasi
 
Ni kweli hata mimi huwa nashangaa eti mwanaume utakuta anatumia nguvu nyingi kupiga kelele eti haki za wanawake na kukemea eti mfumo dume. Sijui nani huwatuma! au ni wale mabwabwa?? maana kizazi cha sasa mabwabwa yanaongezeka kwa kasi

haya sasa!
 
Usishangae atoto ndo dunia ya leo, kumlea mtoto wa kiume kazi kuliko wa kike kwa sasa. Zamani ilikuwa kazi kumlea wa kike

afadhali mnalitambua hilo, ila kwani mwanaume akimtetea mwanamke basi yeye ni bwabwa???!!!!
 
wazungu wangese sana labda kwa sababu wao hawalipi mahari huku unajikwina unatoa mahari halafu usiku agomee shenzzz kwani umesikia naogopa kulala peke yangu hadi nije nikuchukue kwenu na kukuweka kwangu huu ni upuuzi

Just because umenilipia mahali ndo unifanye unavotaka?!, puh! Leez!
 
Hii kitu ndo waga naisema kila mara napochangia humu JF. Utakuta mwanamke kampenda mwanaume kwa sababu huyo meanaume either anayo pesa ambayo ndio imemvutia huyo mwanamke kwa kuamini kuwa akiolewa na mwanamme mwenye fedha basi ataweza kufurahia maisha, sasa basi anapoingia kwenye ndoa kwa ajili ya hvyo vitu na akavipata kama alivyotarajia sasa unakuja muda ambao mapenzi yanatakiwa kuchukua nafasi yake.. Hapo ndio ugomvi unaanzia kwa sababu hakumridhia huyo mwanaume kwa moyo wake bali kwa sababu tu ya mali. Matokeo yake unapofika muda wa kubanjuana mwanamke anajikuta hana ile hamu ya kufanya tendo la ndoa na anamuona jamaa kama sokwe frani hivi sasa kinachofata hapo kwa mwanaume ni kulazimisha apewe haki yake na hapo ndo ugomvi na mwanamke kujiona kama anabakwa vile. So, jamani ni muhimu sana kuoa au kuolewa na yule unaye mrihia katika moyo wako hata kama hana magari au fedha nyingi.

Well said!
 
Ni kweli hata mimi huwa nashangaa eti mwanaume utakuta anatumia nguvu nyingi kupiga kelele eti haki za wanawake na kukemea eti mfumo dume. Sijui nani huwatuma! au ni wale mabwabwa?? maana kizazi cha sasa mabwabwa yanaongezeka kwa kasi

Kumtetea mwanamke apatehakiyake haina manakwamba wewe ni bwabwa, nikawaida tu coz. Man see girls beauty, and girls see mans security. So we must be there security.
 
afadhali mnalitambua hilo, ila kwani mwanaume akimtetea mwanamke basi yeye ni bwabwa???!!!!

Hapana, kumtetea mwanamke haina maana mbaya na wala haimaanishi ni bwabwa. ila katika hao wanaweza kuwepo kweli, kwani wapo tunaowaona wanalilia watambuliwe kuwa wao pia ni wanawake wanaweza kuolewa na wanaume wenzao
 
Wao wakitaka alf uwaambie sbiri kidogo nimalizie kuchat,wanatuita wanaume suruali

Nani wa maana ku chat nae zaidi yangu for you to delay my "rights"?!
 
Just because umenilipia mahali ndo unifanye unavotaka?!, puh! Leez!

ulisikia naogopa kulala peke yangu usiku ??
kama unagoma kitakachokukuta utajua wewe
 
"krismas ikifika kuku aliochaguliwa kuliwa, ataliwa weather awe Tayar au la....sasa nakula kuku wangu mwenyewe..maneno yanatoka wapi..? Wivu tuuuu..yaone.
 
Back
Top Bottom