Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,488
- 176,550
Haya jamani ambao hamjaoa, kitu na box hicho
khaaaah!! nani kakwambia natafuta!!!
Haya jamani ambao hamjaoa, kitu na box hicho
Wazima, ila wapo kibaruani. Wanalipwa wale ujue. Vinginevyo watakula wapi
Hahahaaa ukute wakifika kwa waume zao wanaachia bila kipimo....
hahaaa! kwahiyo wao hawabakwi? au nao ni victims pia wa huu ubakaji mayb ndio maana wanaongea kwa uhakika!
Labda na wao Wanabakwaa...ila wanaanzaje kwenda kuripoti Polisi....hii ndo nani amfunge paka kengele.....
Wengi wanaodai kubakwa ndani ya ndoa tayari walishaharibu ndoa zao ni wanaharakati ambao wanapandikiza chuki kwa wenzao nao waribikiwe ila watashindwa tu huku ni Afrika bana ati unfungua kesi ya rape kwenye ndoa, ni mwanmke mtata tu atafanya ivyo, kama ile sheria ya kukonyeza ,,!kwa waSio na ndoa tu
Kih kih kih kih....... atoto nilitaka tufurahi tu ndg yangu tuongeze cku za kuishi, c unajua tena
Hahahahaaaaa, umeona eeeh
Kwenye ndoa hakuna kubakana
Mi nakubaliana nao kweli ubakaji ni mkubwa huko kuna wale wanawake wanapata monopose mapema wale wanabakwa hawana hisia.... kuna mijianaume ikifika chumbani inarukia papuchi hata haijaloa mtu kashasimika mdudu
Sasa siumfundishe. Tatizolenu mnajifanya mnaaibu kumwelekeza mwanaume unavyotaka sasa ukikutana na ligegedu lisilojua kukuandaa ndioutakoma.
Hivi mwanamke akifikia monopose anakoma kupata hisia eeeh. Hili sikulijua kabla, au limekaaje. Hebu wana biolojia tupeni ufafanuzi juu ya hili
Khaswaaa, ila huku wanapiga domo ilimradi mkono uende kinywani na watoto waruke kamba