Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

Hahahaaaaa majumbani kuna mambo rafiki yangu mmoja ananisimulia kuwa mkewe halali mpaka asindie jeans mbili na ndani kuna kufuli tatu,utabaka hapo?ugomvi haujaisha mpaka leo .
 
Mapi ukuje hapa
 
Last edited by a moderator:
ubakaji upo sana aisee, ili mwanamke aridhie kuna maandalizi ya awali kumfanya awe tayari kwa tukio, ila wanaume wengine hasa wale walevi ni balaa tupu, (rara hapo nikurenge)
 
ubakaji upo sana aisee, ili mwanamke aridhie kuna maandalizi ya awali kumfanya awe tayari kwa tukio, ila wanaume wengine hasa wale walevi ni balaa tupu, (rara hapo nikurenge)

Hapa utakuwa unachanganya mambo....
Jiulize ni wakati gani anaridhia..swala la kumuandaa linakuja baada ya kuridhia
 
kamusi ya Tuki mwaka 2011:

kubaka;- kufanya mapenzi na mtu bila ridhaa yake.

inaweza kuwa kweli maana sio muda wote mtakutana na hisia sawa za kufanya mapenzi, anaweza kufanya kukuridhisha tu ila haikua ridhaa yake!!!

upo xawa kabixa mkuu hata kama ni mkeo akiwa hayupo kwenye mud ukimlazimixha hapo utakua umebaka
 
Hapa utakuwa unachanganya mambo....
Jiulize ni wakati gani anaridhia..swala la kumuandaa linakuja baada ya kuridhia

kuna muda anaridhia tu ili akuridhishe kishingo upande, nawe wamrukia tu bila kumuandaa, umembaka pia
 
hata wanawake wanabaka ila ila ma2kio ya wanawake kuwabaka wanaume ni madogo kuliko ya wanaume kuwabaka wanawake
 
Mi nakubaliana nao kweli ubakaji ni mkubwa huko kuna wale wanawake wanapata monopose mapema wale wanabakwa hawana hisia.... kuna mijianaume ikifika chumbani inarukia papuchi hata haijaloa mtu kashasimika mdudu
 
Ni kweli kabisa. Raping ipo sana katika ndoa zetu na hili halitakwisha kama haijaja sheria ya kurekebisha hizi customary laws za mwanamke kuwa chini ya mwanamme na kutumika kama chombo cha starehe kwasababu tu ulimlipia mahari.
Ifike mahali muielimishe jamii juu ya mahari faida na hasara zake na yakionekana ndio chanzo yapigwe marufuku kama ulivyopingwa ukeketaji.
Ni vema wanandoa wakapata elimu juu ya ndoa badala ya kitchen party ya upande mmoja tu.

wewe umejuaje kama wanabakana,au unapigaga chabo maana hayo n mambo yachumbani
 
Jamani si tunaambiwa walioona ni "mwili mmoja" kwa raha na shida...sasa hiyo ya kubakana inatoka wapi...!?
 
kuna muda anaridhia tu ili akuridhishe kishingo upande, nawe wamrukia tu bila kumuandaa, umembaka pia

sasa kama ameridhia, na ni mke wangu nambakaje?
 
Back
Top Bottom