Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

Wanajuaje kama ubakaji umeongezeka,nani anaeripoti au kushitaki kubakwa na mmewe..mwenye evidence please
 
Wanajuaje kama ubakaji umeongezeka,nani anaeripoti au kushitaki kubakwa na mmewe..mwenye evidence please

Sijui wanazipata wapi takwimu hawa hata mimi nashindwa kujua. Labda mwenye ripoti ya utafiti atujuze tafadhali
 
watuondolee uzungu wao hapa.Mzima wa afya,hayupo kwenye cku zake,alafu aninyime nipige nyeto?

nashangaaa
mume wangu,mahari atoe yeye
anihudumie yeye
si amelipia
hebu kwendeni hukooo kubaka mnakujua nyie
 
Aiseee! Sasa, ni wakati gani mume na mke wajamiiane ili isionekane kuwa mwanamke kabakwa au kafanywa chombo cha starehe?

ni pale tu uwepo wa maridhiano ya pande zote mbili yatakapokuwepo kwa kiwango cha kuridhisha. Yaani mhitaji ambeleze mwenzie ikiwa ni pamoja na kuandaa mazingira yatakayomshawishi kuridhia tendo hilo. Yaani awe willing ili aweze kuiamsha desire yake then arousal.
Wote tukijengana hivi ubakaji hautokuwepo.
 
Hahahaha mm napangua tu miguu sijali...wazungu wasilete ubishoo kwetu
 
Aiseee! Sasa, ni wakati gani mume na mke wajamiiane ili isionekane kuwa mwanamke kabakwa au kafanywa chombo cha starehe?

kwanza, is a matter of understanding each other. Pia, ni pale utakapojenga mfumo wa maridhiano ya pande zote kwa maana ya kuandaana pale upande mmoja unapo-demand na sio kuviziana. Tengeneza desire kwake till she/he reach arousal then mengine yatafuata and not otherwise eti unaninyima kwanini.
Mazingira nayo ni muhimu hasa ukizingatia mood ya anayetakiwa whether mke au mume. Pia kuwepo na hali ya utulivu wa akili kwa upande unaohitajiwa. Kumbuka mke/mme siyo sehemu ya kuondolea stress zako. Epuka ulevi ambao huvuruga mpangilio wako mzuri.
 
Well said
 
Jamani nimewaangalia wanaharakati wa haki za binadamu wakiadhimisha harakati zao wamesema kwamba unyanyasaji dhidi ya wanawake na ndoa za utotoni. Kilichoniacha hoi mimi, ni pale waliposema suala la ubakaji ni kubwa ndani ya ndoa kuliko hata ubakaji wa kawaida.
Hii imenishangaza kidogo, hivi watu waliooana wanabakana!!! How? Kama ni hivyo imekuwaje wameoana sasa kama bado wanabakana, yaani wanamaanisha mwanamke kubakwa na mwanamme. Hebu tujadili pamoja. Hii hoja ni kweli? Na imekaaje

Karibuni

Source: Habari ITV

wao wako kikazi zaidi wanaongea hivyo ili mwisho wa mwezi pesa iingie mfukoni sasa kama na ukitaka kuwafuata shaur yako
 
Kama ni kweli tamko hilo limetolewa na LHRC kama mleta uzi alivyoandika,basi LHRC watakuwa wameporomoka sana kisheria au watakuwa sahihi sana itategemea ubakaji huo umefanyika wakati ndoa ipo katika hali gani..

Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania hakuna jinai au kosa la kisheria linaloitwa ubakaji ndani ya ndoa (Marrital Rape ) baina ya wanandoa.Ubakaji ndani ya ndoa unaweza kutokea endapo wanandoa wametengana kwa amri ya mahakama kwa muda fulani na hakuna amri ya taraka baina yao na wakati huohuo mwanaume akamuingia kwa nguvu mkewe huyo walietengana na bila ridhaa yake,hapo kuna ubakaji ndani ya ndoa (Marrital Rape ).

Hakuna ubakaji ndani ya ndoa wakatia wanandoa hawajatengana kisheria.Ridhaa inayotolewa na wanandoa wakati wa azimisho la ndoa linachukuliwa kwa tathira yake (Impliedly ) kuwa wanandoa hao wameridhia tendo la ndoa.Ndiyo maana ndoa hata kama ni ya kikristu inaweza kuvunjwa kisheria endapo mwanaume atashindwa kufanya mapenzi na mkewe baada ya ndoa.
 
wao wako kikazi zaidi wanaongea hivyo ili mwisho wa mwezi pesa iingie mfukoni sasa kama na ukitaka kuwafuata shaur yako

Ha ha haaaaaa, duuuuu! mkuu trem umeongea kitu cha maana siku ambacho wengi tuliki-overlook. Ni kweli kabisa, akili za kuambiwa changanya na zako
 
Kama ni kweli tamko hilo limetolewa na LHRC kama mleta uzi alivyoandika,basi LHRC watakuwa wameporomoka sana kisheria.

Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania hakuna jinai au kosa la kisheria linaloitwa ubakaji ndani ya ndoa (Marrital Rape ) baina ya wanandoa.Ubakaji ndani ya ndoa unato

Angalia marudio ya taarifa ya habari ya ITV ya leo tarehe 10 Dec 2014, sina sababu ya kuwadanganya Great Thinkers ndani ya JF. Aliyefuatilia habari hizo itakuwa ameona
 
Umejibu vizur na kama umeolewa/oa, zingatia hayo alosema
ni pale tu uwepo wa maridhiano ya pande zote mbili yatakapokuwepo kwa kiwango cha kuridhisha. Yaani mhitaji ambeleze mwenzie ikiwa ni pamoja na kuandaa mazingira yatakayomshawishi kuridhia tendo hilo. Yaani awe willing ili aweze kuiamsha desire yake then arousal.
Wote tukijengana hivi ubakaji hautokuwepo.
 
Hii kitu ndo waga naisema kila mara napochangia humu JF. Utakuta mwanamke kampenda mwanaume kwa sababu huyo meanaume either anayo pesa ambayo ndio imemvutia huyo mwanamke kwa kuamini kuwa akiolewa na mwanamme mwenye fedha basi ataweza kufurahia maisha, sasa basi anapoingia kwenye ndoa kwa ajili ya hvyo vitu na akavipata kama alivyotarajia sasa unakuja muda ambao mapenzi yanatakiwa kuchukua nafasi yake.. Hapo ndio ugomvi unaanzia kwa sababu hakumridhia huyo mwanaume kwa moyo wake bali kwa sababu tu ya mali. Matokeo yake unapofika muda wa kubanjuana mwanamke anajikuta hana ile hamu ya kufanya tendo la ndoa na anamuona jamaa kama sokwe frani hivi sasa kinachofata hapo kwa mwanaume ni kulazimisha apewe haki yake na hapo ndo ugomvi na mwanamke kujiona kama anabakwa vile. So, jamani ni muhimu sana kuoa au kuolewa na yule unaye mridhia katika moyo wako hata kama hana magari au fedha nyingi.
 
kamusi ya Tuki mwaka 2011:

kubaka;- kufanya mapenzi na mtu bila ridhaa yake.

inaweza kuwa kweli maana sio muda wote mtakutana na hisia sawa za kufanya mapenzi, anaweza kufanya kukuridhisha tu ila haikua ridhaa yake!!!

Tafsiri ya Tuki haijakaa vizuri kisheria,LHRC wanatakiwa kueleza misimamo au maoni yao kwa mujibu wa sheria na si kueleza kama "a mere layperson"
 
Back
Top Bottom