Mie siku zote napenda niwaulize ndugu zangu kwa maswali ma3 tu 1.Viongozi wa juu wa hawa wanawake wanaharakati kuna hata mmoja aliye na ndoa yake? 2.Wanapingana na Bible inayosema mwanamke atatawaliwa na mmewe na tamaa zake daima juu ya mmewe? 3.wao wanapewa na nani mamlaka kuingilia na kupeleleza habari za ndani za wanandoa wakati mambo ya ndani ya ndoa yanabaki ni mambo ya ndani,kuzipeleleza na kuanika nje mambo ya ndani ya ndoa za wanandoa wanalenga nini? ..sasa nilishasema kama wanaona wanapinga ama hawataki suala la ndoa liwepo kwasababu za kwao zilishawashinda wawe huru,waseme kuliko kuanza kuchunguza mambo ya ndani ya viapo vya watu,wakumbuke hawana la kufanya na ndoa kwani ndoa ni mamlaka toka mbinguni na iko kidini zaidi,si mamlaka ya mtu na wala ya wanaharakati ..they should observe their boundaries on this sacred matter.