ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Mkuu ulitegemea aseme hayo kwenye vyombo vya habari!??, tayari ameshapoteza mwanawe apoteze na kucha na meno tena!? mi naona bora hajatamka kabisa...
Kwa sie tuliopita jesh,swala la kufanya mapenzi holela lipo kwenye kambi zote,na sio 2 Tanzania,hyo ni dunia nzima.
Ww mtoa taarifa una uhakika na habar hyo mm nmepta jkt hakuna vitu kama hvyo ugum wa mafunzo ndo unawafanya watoto wenu waropoke upumbav huu.
Ww mtoa taarifa una uhakika na habar hyo mm nmepta jkt hakuna vitu kama hvyo ugum wa mafunzo ndo unawafanya watoto wenu waropoke upumbav huu.
Ww mtoa taarifa una
uhakika na habar hyo mm nmepta jkt hakuna vitu kama hvyo ugum wa mafunzo
ndo unawafanya watoto wenu waropoke upumbav huu.
Serikali haina dini umeanza kutuletea udini wako mdini mkubwa wewe,jk aliwahi kuwa mwanajeshi yeye dini gani.
safi sana. labda dada yake ni malaya na anagawa sana huko ndio maana kagushi hii habari. ukienda huko malaya utachapwa tu,ukiwa decent uko safe.
Kama habari hizi ni za kweli basi ni utovu mkubwa wa nidhamu na scandal kubwa kwa jeshi ..........
Kuna suala la usagaji au hilo sio ishu haliuwi au kuleta ukimwiDaa ili balaa kubakana tena basi wazitenganishe za boys na girls na kila moja inasimamiwa na jinsia husika
Kiukweli hakuna haja ya kuwapeleka mabinti huko isipokuwa tu wale manunda wanaojiaminisha na sera zao feki za usawa wa wanaume na wanawake. Kazi ya jeshi haina asili ya uhusishwaji wanawake bali walihusishwa tu miaka ya hivi karibuni baada ya kugundulika maaskari wakikaa maporini mda mrefu bila kupata kipozeo walikuwa wanageukana; kwa hiyo kimsingi wanawake wanaandikishwa kwenye majeshi kuwa vipozeo sasa wanapokamuliwa na wazazi kulalamika inakuwa haiendani. Hakuna sababu ya msingi kabisa kuruhusu mabinti waende JKT ni ukichaa mtupu na kuchochea yale yanayo julikana kuhusu uwepo wa wanawake majeshiniKuna binti mmoja nilikuwa naye coy moja,kasoma NGANZA Sec, binti kapewa uzuri wa umbo na tabia. Tulipo fungua mafunzo alisumbuliwa saana,ilifika wakati coy nzima tulijua,wakumpa ushauri aende kuripoti kwa Sir Major tulikuwa wengi. Lakini kilichomtokea huyo binti kila alipokuwa anaenda kutoa taarifa ni majuto hata wenye umri wa baba yake walimtaka pia. Alisumbuliwa vibaya,tukiwa tumekusanyika usawa wa coy walimfanyia dhihaka za aina mbalimbali.
Siku ngumu kwake zilianza tulipoenda Endurance training Binti alifanyiwa jambo la ajabu sana,hakuna asiye choka wengine tulipochoka tulihimizwa kwa maneno lakini kwa Mwenzetu viliongea Viboko,ni kama walimkalili kila afande alikuwa adui yake.
Mwisho wa siku aliingia kumi nane za C.I, akawa kipozeo na usumbufu toka kwa Privates wa jeshi,koplo,na wengineo.
NB:
Wengine tuna kumbukumbu mbaya zaidi juu ya jeshi kuliko hata yale mazuri tuliyopata,Mathalani kamwe sitakuja mruhusu binti yangu akajiunge na JKT,na sio tu Jkt maana wachafuzi wengi ni jw basi secta yoyote ya ulinzi na usalama wa raia.
Mkuu kuna matukio mengi jeshini yakianikwa yanaweza jaza server za JF.
Hizi habari ni bora zingeandikwa kama makala kwenye magazeti yanayowafikia waTanzania waliowengi,Akina Zitto waliyaona haya,na tuliwasimulia pia mambo tunayofanyiwa ( Wao walikuwa na say kubwa wakati wa mafunzo) Lakini wapi.
Hivyo mengi yanayoletwa hapa yanaukweli ndani yake.
If it exists anyway! Cha msingi ni kupigania haki yako hivi sasa pale ulipo, usiisubirie mbingu ambayo haipo.nimesikia baba wa marehem halima akilalamika kwenye kipind cha milad ayo clouds fm ni kweli ila wao wanaxema kafa kwa malaria.kuna umuhimu gan wa kwenda jeshn ikiwa hawajali afya za wanamafunzo?,ina maana serikali haioni hl? tanzania ni nchi ya watoto wa viongozi 2? tujuzane mtoto wa kiongoz gani ambae mwaka huu kaenda jkt hasa wabunge na mawaziri hata rais? jibu hakuna kabixa najua hili.sheria,uwongo dhuruma na matendo maovu ni hapa2 duniani haki mbinguni.rest in peace sister halima.Amen.
Ninajuta kumpeleka binti yangu huko. Bora asingeenda jeshini, akapelekwa hata uganda kusoma degree yake. Just imagine hizi ndiyo division one, two na three za nchi ndiyo zinakwenda kuharibiwa hivi? Tunabaki na nini sasa katika nchi. Oooh, my God, I wish ningeweza kumrudisha binti yangu right today.Kuna binti mmoja nilikuwa naye coy moja,kasoma NGANZA Sec, binti kapewa uzuri wa umbo na tabia. Tulipo fungua mafunzo alisumbuliwa saana,ilifika wakati coy nzima tulijua,wakumpa ushauri aende kuripoti kwa Sir Major tulikuwa wengi. Lakini kilichomtokea huyo binti kila alipokuwa anaenda kutoa taarifa ni majuto hata wenye umri wa baba yake walimtaka pia. Alisumbuliwa vibaya,tukiwa tumekusanyika usawa wa coy walimfanyia dhihaka za aina mbalimbali.