Ubakaji: Baunsa amsulubu msanii, nusura abakwe

Ubakaji: Baunsa amsulubu msanii, nusura abakwe

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34
attachment.php


Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Fagio la Chuma, Hafsa Ally akielezea mkasa uliomsibu kwa waandishi wa Global.

Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Hafsa alisema tukio hilo lilijiri hivi karibuni, m
ishale ya saa 8:00 usiku alipokuwa akitokea Ukumbi wa Delux uliopo Sinza-Kijiweni, Dar akielekea nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama.




Ubakaji! Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Fagio la Chuma ambaye pia aliwahi kuitumikia B-Band chini ya Banana Zorro, Hafsa Ally, amesulubiwa kisha kunusurika kubakwa na baunsa aliyemtaja kwa jina moja la Mahamoud.


Hafsa alisema, akiwa kwenye Bajaj, ndipo akashtukia kuna bodaboda inawafukizia kwa nyuma.

"Nilipoangalia nyuma nikaiona pikipiki ambayo nilihisi kama inatufukuzia, lakini kabla sijakaa sawa nikashangaa kumuona Mahamoud ambaye namfahamu kama baunsa na dereva wa bodaboda.



Source:GPL
 

Attachments

  • IMG_8711.jpg
    IMG_8711.jpg
    52.6 KB · Views: 857
Huyu tena wa wapi?Ila pole yake jamani.Na wewe hebu malizia habari yote
 
Ushakula hela za watu unategemea nn lazima kieleweke
 
[FONT=Georgia, 'Times New Roman', serif]Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Fagio la Chuma, Hafsa Ally akielezea mkasa uliomsibu kwa waandishi wa Global. Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Hafsa alisema tukio hilo lilijiri hivi karibuni, mishale ya saa 8:00 usiku alipokuwa akitokea Ukumbi wa Delux uliopo Sinza-Kijiweni, Dar akielekea nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama.
[/FONT]
​


Ubakaji! Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Fagio la Chuma ambaye pia aliwahi kuitumikia B-Band chini ya Banana Zorro, Hafsa Ally, amesulubiwa kisha kunusurika kubakwa na baunsa aliyemtaja kwa jina moja la Mahamoud.

Hafsa alisema, akiwa kwenye Bajaj, ndipo akashtukia kuna bodaboda inawafukizia kwa nyuma.

"Nilipoangalia nyuma nikaiona pikipiki ambayo nilihisi kama inatufukuzia, lakini kabla sijakaa sawa nikashangaa kumuona Mahamoud ambaye namfahamu kama baunsa na dereva wa bodaboda.
​


IMG_8705.jpg

NA RAHA BLOG>>>


​

msanii kutembea na bajaji usalama mdogo
 
Back
Top Bottom