Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,934
Hii teknik yako ya kuvunga upo mkoa mwingine halafu utaenda mkoa alipo yeye ni muhimu itabidi niitumie hio njiaahahahahaha mkuu sometime uongo unasaidia saana.
Hii teknik yako ya kuvunga upo mkoa mwingine halafu utaenda mkoa alipo yeye ni muhimu itabidi niitumie hio njiaahahahahaha mkuu sometime uongo unasaidia saana.
tulikuja kuonana mtumbani nimesiz kinoma ndo siku hiyo nilimwambia ukweli hakuamini kabisa.Hahaha siku anaweza kukukuta umevaa makobazi na bukta unapuyanga zako mwakaleli hahahaha si mchezo
Hawa watoto zetu jamani, unadhalilika kwa 5000 au 10000Mwaka jana niliipata namba ya mrembo mmoja hivi katila kuchat chat nae hakuwahi niuliza namba nimeipata wapi ila alikujaga kua manzi wangu nikala mzigo mara 2, labda sababu nilitumia chambo siku ya kwanza baada ya ku meet nae nilikua either namuachia 10,000 au buku 5 mzee mtoto alikua mzuri huyo mrefu kunishinda mimi na K yake ni ya moto hatari...tangu nimeanza haya mambo no huyo manzi tu ndo hajawai niuliza namba umetoa wapi
Hahaha kwaio alikupiga nyundo au ukaendelea nae?tulikuja kuonana mtumbani nimesiz kinoma ndo siku hiyo nilimwambia ukweli hakuamini kabisa.
jaribu mkuu ni rahisi saana unamwitia guest moja kwa mojaHii teknik yako ya kuvunga upo mkoa mwingine halafu utaenda mkoa alipo yeye ni muhimu itabidi niitumie hio njia
Hii imetoka kwenye kanuni 30.10-17 kwenye mwongozo wa mabaharia1.Mimi ndugu yako.
2.Nimepewa namba yako na mjomba ili nikutafute.
Namba gani unaitumia kwa M-Pesa ili nikutumie pesa kidogo ununue salio unitafute baadae kidogo?
- Hatukuongea vizuri zaidi ya kuwa very busy.
Kesho yake anakutana na simple & sweet words kidogo tu. Akaishia kupewa offer ya dinner, akakubali ila kwa hofu akaona aje na rafiki yake. Nami nikaenda na best, hivyo ngoma droo.
Kilichofuata Mabaharia tu ndiyo wataelewa hii sauti.
Hii ni mbinu ya 4 baada ya kutotumia zile za chini. Pia inategemeana na mtu na mtu.
Hahaha aisee manzi anaesubiria kwenda chuo enzi hizi za magu kila ukikutana nae kupiga nae stori tu unamwachia 5000 au 10000 ya boda boda wakati unajua anatembea kwa mguu kafika home ukimwambia tuonane hapingi aisee..ila siku moja alinikazia nimempa 10000 akaniambia naomba niongezee 10000 ingine kwaio mnyamwezi nikamwongezea jumla 20000 nikala mate tuu hahahaHawa watoto zetu jamani, unadhalilika kwa 5000 au 10000
niliendelea nae mkuu nilimwambia yoote nimefanya kwa sababu nampenda alinielewa vizur tu.Hahaha kwaio alikupiga nyundo au ukaendelea nae?
Sikuzote kauna mwanamke yyte duniani anae weza kumkataa mwanaume naukiona kakukataa basi ujeue huja fuata protocolNilishawahi kukutana na hii changamoto katika ubaharia wangu kwa njia ya simu:-
kama nyie iliwakuta mliitatua vipi?
- Wewe ni nani
- Unataka nini
- Ongea kama mwanaume
- Nina kublock sasa hivi
Weka hizo protocol tuzifuate mkuuSikuzote kauna mwanamke yyte duniani anae weza kumkataa mwanaume naukiona kakukataa basi ujeue huja fuata protocol
Ukifuata protocol hawezi kukukataa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]we ni hatari,tukawa tunachat kila siku na alijaa kinoma na nikamdanganya naishi dar (na yeye alikua anakaa mbeya hapahapa).nikamwambia siku za mbele nitakuwa mbeya ko kama itawezekana tuonane. zikapita wiki mbili hivi mtoto kakolea kinoma ani anajua kasha toboa maisha kumbe mchizi namdanganya tu na kanizoea mda woote anataka tuchatg t. baada ya wiki mbili nikaacha kumjibu...inaendelea
Hii teknik yako ya kuvunga upo mkoa mwingine halafu utaenda mkoa alipo yeye ni muhimu itabidi niitumie hio njia