Ubaharia wa kwenye simu

Ubaharia wa kwenye simu

Mi kuna mmoja hakuniuliza namba nimepata wapi,bali aliniuliza unataka nini....
Mwaka jana niliipata namba ya mrembo mmoja hivi katila kuchat chat nae hakuwahi niuliza namba nimeipata wapi ila alikujaga kua manzi wangu nikala mzigo mara 2, labda sababu nilitumia chambo siku ya kwanza baada ya ku meet nae nilikua either namuachia 10,000 au buku 5 mzee mtoto alikua mzuri huyo mrefu kunishinda mimi na K yake ni ya moto hatari...tangu nimeanza haya mambo no huyo manzi tu ndo hajawai niuliza namba umetoa wapi
 
Mi kuna mmoja hakuniuliza namba nimepata wapi,bali aliniuliza unataka nini....
Nikipata kama huyo ni mwake sana namwambia nakutaka wewe hapo uwe baby wangu..nimekukubali sana..mimi juzi nimemsaundisha mmoja..hello, mamboo.. nikajibiwa Nani? Nikamjibu wewe hapo..conveesation ndo ikafa
 
Mwaka jana niliipata namba ya mrembo mmoja hivi katila kuchat chat nae hakuwahi niuliza namba nimeipata wapi ila alikujaga kua manzi wangu nikala mzigo mara 2, labda sababu nilitumia chambo siku ya kwanza baada ya ku meet nae nilikua either namuachia 10,000 au buku 5 mzee mtoto alikua mzuri huyo mrefu kunishinda mimi na K yake ni ya moto hatari...tangu nimeanza haya mambo no huyo manzi tu ndo hajawai niuliza namba umetoa wapi
ha ha ha huwa inatokea mkuu
 
Nikipata kama huyo ni mwake sana namwambia nakutaka wewe hapo uwe baby wangu..nimekukubali sana..mimi juzi nimemsaundisha mmoja..hello, mamboo.. nikajibiwa Nani? Nikamjibu wewe hapo..conveesation ndo ikafa
ha ha ha ha wengine wanakimbilia kublock namba...ukipiga inakwambia namba unayopiga inatumika kwa sasa
 
ha ha ha ha wengine wanakimbilia kublock namba...ukipiga inakwambia namba unayopiga inatumika kwa sasa
Kweli ila sababu naanziaga whatsapo mmoja nilichelewa kunyoosha maelezo nikala block la nguvu kupiga simu naambiwa stori sijui mwenye simu kasafiri hahaha
 
Ila sasa hivi naona bora nianze kwa kuvuta waya badala ya sms au kuchat
Nakumbuka zamani,kama unamuhitaji mtu fulani,unatafuta namba yake unajifanya umekosea kutuma sms..baada ya hapo mawasiliano ndio yanaanza.
 
Nakumbuka zamani,kama unamuhitaji mtu fulani,unatafuta namba yake unajifanya umekosea kutuma sms..baada ya hapo mawasiliano ndio yanaanza.
Njia hio nimeitumia sana nilikua natunga SMS mida ya saa 5 au 6 usiku i.e Vipi Bro ule mzigo umeshapatika ipo PC ya 8GB Ram na 640 GB HDD lakini nimemtafuta xxx hapatikani sasa ipi utaweza kuichukua bei ni 900,000 kwa 1,200,000...ukiamka asubuhi..ukikuta imehibiwa na Hi? , Hello? Hapo naunga tela aisee...
 
ha ha ha ha ha
 
Kuna demu nilimuonaga siku moja cafeteria akanivutia kinoma, kajaaliwa kunako maeneo, maji ya kunde flani hv, mzuri kwel kwel. Basi bahati nzuri jamaa yangu mmoja pale alikua anajua ni nani. Nikafanya harakati za mtu mweusi nikapataga namba yake, lakini hakunipa yeye.

Basi kumuendea hewani nilipigwa hyo interview, we nani? wa wapi? unashida gani? n.k mimi nilienda direct to the point. Sasa kumbe sijui siku hyo alichanganya mafile, maana nilijitambulisha na nini lakini akawa anahisi mimi ni dogo gani cjui alimsumbua sumbua mchana. Basi nikaishia kujibiwa tu "katafute 1st year wenzako". Nikasema sio kesi stress za UE hizi.

Baadae sana miezi na miezi nimeshamaliza chuo nikaja kumchek tena, this time mambo yakawaga fresh, hata alivyokuwa anajibu ilikua tofauti. Akajaga kuniambia kuna siku alikua anapitia pitia text zake za kwenye archive. Alivyosoma ile convo akawa anaona mbona huyu alikua direct haleti longo longo sana, sema ndo hvo wanawake asijifeel cheap hawezi kukutafuta.

Tulidate kama miez miwili tu kila mtu akaendelea na ishu zake.
 
Kuna mwanangu mmoja yeye ananifurahisha sana, yani demu alikua akimuuliza tu hayo maswali,

Yeye anareply, "Enheee, nilikua nayasubiri sana hayo maswali. Maana wanawake tu ndo wanaulizaga. Nimefurahi kujua sichat na msela mwenzangu."

Mademu wengi walikua wanaona ni mcheshi flan hv, basi wanaanzaga kuwa curious kutaka kukujua zaidi na nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom